The House of Favourite Newspapers

Harmonize Afunguka Kolabo na WCB, Tattoo ya Tembo – Video

0

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ishu mbalimbali kuelekea katika uzinduzi wa album yake ya Afro East utakaofanyika Jumamosi ya wiki hii katika ukumbi wa Mlimani City.

Leave A Reply