Video: Mjue Trafiki Mwenye Mbwembwe za Burdani


ASKARI wa usalama barabarani (trafiki) anayejulikana zaidi kwa jina moja la Ashrafu,  amejizolea umaarufu mkubwa  jijini Dar es Salaam kwa namna anavyoongoza magari kwa mbwembwe zinazowatia watu wengi wanapomwona.

Global TV Online imefanya naye mahojiano ambapo ameelezea namna ndoto yake ya kuwa askari polisi ilivyoanza na ilivyotimia, mbali na changamoto anazopitia.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Toa comment