Video: Mapokezi ya Kombe la Yanga Dar Haijawahi Kutokea.. Basi la Madrid Labeba Wachezaji

 

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo Juni  26, 2022 wametua wakitokea Mbeya walikokabidhiwa taji lao la msimu huu mashabiki  na wanachama wa timu hiyo wamefika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) kuwapokea.

 ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Wananchi Yanga katika daraja la Mfugale wakiwa njiani wakitoka Airport kuelekea kwenye makao Makuu ya timu hiyo Jangwani.3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment