The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mjamzito Avushwa kwa Kijiko baada ya Mvua Kusomba Daraja!

0

Hii ni barabara ya kidatu kwenda ifakara kijiji cha ichonde mbele kidogo ya Mang’ula kata ya kisawasawa, mkoani Morogoro, haki ilivyokuwa Ijumaa iliyopita baada ya mvua kubwa kunyesha na kuharibu miundo mbinu, ikimo daraja hili.

Leave A Reply