The House of Favourite Newspapers

Video: Mtoto Azaliwa Mifupa Inaonekana Mama Mzazi Asimulia Kwa Uchungu..

0


Judith Gadiel Mushi (25) Mkazi wa Tabata Jijini Dar es salaam ambaye hana uwezo wa Kuongea, kuona wala kufanya chochote kile huku muonekano wa sura yake ukiwa sio wa kawaida.

 

Akisimulia kwa Uchungu Mama mzazi wa mtoto huyo, Elda Makoi, amesema ili kuwa na muonekano alionao sasa Binti yake alilazimika kufanyiwa Upasuaji mara Sita baada mtoto wake kuzaliwa katika hali ya utofauti inayofanana na Nyani.

 

Mama huyo kwa sasa anaomba msaada wa chakula na mahitaji muhimu kwa mtoto wake kama Pampas baada ya baba wa mtoto huyo kufariki na ndugu kumtenga. Namba ya Kumpata Mama Judith ( 0713 777339 AU 0714 207395 ) ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply