The House of Favourite Newspapers

Video: Nandy, Billnass Wakumbatiana Stejini Nandy Festival

0

BAADA ya muda mrefu Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ kudaiwa kuachana na mpenzi wake William Lyimo ‘Billnass’ (Nenga) usiku wa leo Septemba 5, 2021 kwenye Tamasha la Nandy Festival wawili hao wamefanya shoo ya pamoja huku akikumbatiana kimahaba.

Kitendo hicho cha kuwa pamoja kiliibua gumzo kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo.

Leave A Reply