The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ahutubia Akiwa Uganda, Ziara Yake Ya Siku Mbili Inaendelea… (Picha +Video)

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Uganda kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.

Rais Samia Suluhu Hassan anafanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Jumanne Mei 10 -11, 2022, kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo, Yowei Museveni.

Rais Samia akiwatambulisha Viongozi wa Taasisi mbalimbali kutoka Tanzania kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wakati wa mapokezi rasmi yaliyofanyika katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.
Rais Samia akipokewa na wenyeji wake mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege Entebbe International Airport kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili.

 

Leave A Reply