The House of Favourite Newspapers

Video: Rais Samia Atua Uganda Kushiriki Uapisho Wa Rais Museveni

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda ambapo baadaye leo atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply