The House of Favourite Newspapers

Wabunge

0

Mgombea Ubunge wa CUF jimbo la Tandaimba mkoani Mtwara Ahmed Katani Katani ametangazwa  mshindi mshindi wa jimbo hilo.

Mgombea Ubunge kupitia CCM katika jimbo la Mbinga Mjini Sixtus Mapunda ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo

Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Mbinga Vijijini Martin Msuha ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo

Leave A Reply