The House of Favourite Newspapers

Waziri Kairuki Aongoza Ujumbe wa Tanzania Kushiriki Ufungzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB-Berlin Ujeruman

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akisalimiana na Naibu Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Princess Haifa Al Saud mara baada ya ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Oman, Mhe. Salem bin Mohammed Al Mahrouqi mara baada ya ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB uliofanyika tarehe 4 Machi 2024 jijini Berlin, Ujerumani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akisalimiana na Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Mhe. Ahmed Al Khateeb mara baada ya ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika tarehe 4 Machi 2024 jijini Berlin, Ujerumani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani.
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Thereza Mugobi akifuatilia matukio katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB uliofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Waziri wa Utalii na Masuala ya Utamaduni wa Sierra Leone, Mhe.Nabeela Farida Tunis (kulia kwake) katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB
Taswira ya Ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani.
Baadhi ya Washiriki wa tukio la ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB lilillofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika  Machi 4,2024  jijini Berlin, Ujerumani.

Katika hafla hiyo, Mhe. Kairuki kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na  Waziri wa Maliasili na Utalii wa Oman, Mhe. Salem bin Mohammed Al Mahrouqi, Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Mhe. Ahmed Al Khateeb, Naibu Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Princess Haifa Al Saud pamoja viongozi mbalimbali wa Sekta ya Utalii Barani Afrika.
Leave A Reply