The House of Favourite Newspapers

Wema wa Buguruni Amwaga Machozi “Nampenda Wema, Nikilala Namuota”

0

KATIKA kipindi cha ‘KATA MBUGA‘ cha Global Radio, leo Desemba 28, imepiga stori na mwanadada anayejiita, Wema Sepetu wa Buguruni, ambaye ni shabiki namba moja wa muigizaji Wema Sepetu.

 

Dada Huyu ana mapenzi makubwa kwa muigizaji Wema, kiasi cha kufikia kumuota akilala usiku.

Leave A Reply