The House of Favourite Newspapers

Wizkid Ana Nyodo AIDE

0

HEBU fikiria ile Tuzo ya Msanii Bora Afrika ya Tuzo za MTV EMA 2021 aliyotwaa Jumapili iliyopita kule Budapest nchini Hungary barani Ulaya, ingetwaliwa na msanii mwingine wa Afrika hasa wa Bongo ingekuwaje?

 

Lakini unaambiwa Wizkid wa Nigeria ana nyodo kiasi kwamba hakuposti chochote kwenye kurasa zake za kijamii utadhani hakuna kilichotokea!

 

Wizkid ametwaa tuzo hiyo katika Kipengele cha Best African Act ambacho alikuwa anawania na Diamond Platnumz (Tanzania), Tems (Nigeria), Amaarae (Ghana) na Focalistic (Afrika Kusini).

Leave A Reply