Yanayojiri Kanisani Kwa Gwajima Leo Jumapili (+Mubashara Video)

Kanisa lake la Ufufuo na Uzima,

AKIONGOZA ibada katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat  Gwajima,  leo Jumapili,  amesema kuwa kilichotokea ni rasharasha  na si yeye aliyempiga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, bali alilichokoza kanisa la Mungu na anachohitaji kwa  sasa ni Makonda kuomba msamaha.

Makonda

LIVE IBADA YA JUMAPILI 05/03/2017 – BISHOP DR J. GWAJIMA

>”>
GABRIEL NG`OSHA/GPL


Loading...

Toa comment