The House of Favourite Newspapers

Yemi Alade Amuunga Mkono Vanessa Mdee

0

BAADA ya Vanessa Mdee, mwimbaji Yemi Alade anaongezeka kwenye orodha ya wasanii wa kike ambao wanakitupia lawama kiwanda cha muziki  na biashara yake nzima.

Kwenye ukurasa wake wa twitter, Yemi Alade mwanamuziki wa Nigeria, ameandika: “Biashara ya muziki ni ngumu sana, hakuna mtu anayetaka kukufurahia hadi unapoanza kupata mafanikio. Ninaomba tutieni nguvu, si rahisi.”

Yemi Alade  ni miongoni mwa waimbaji nyota wa kike barani Afrika.

Leave A Reply