The House of Favourite Newspapers

Mussa Kitale: Sisi Sote ni Ndugu…

Mussa Yusuf Mahenge ‘Kitale’.

MSANII wa vichekesho nchini, Mussa Yusuph Mahenge ‘Kitale’,  amesema kuwa Waislamu na Wakristo wote ni ndugu.

Wasanii wakiingia kanisani.

Akizungumza na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima lilipo Dar es Salaam, Kitale amesema kuwa Watanzania sote ni ndugu na hatuna sababu yoyote ya kutengana.

Mussa Kitale akipunga mkono wakati akiingia kanisani hapo.

Aidha msanii mwengine, Stan Bakora, naye alipata nafasi ya kuzungumza mawili matatu ambapo alimmwagia sifa mchungaji huyo na kutaka aitwe Stanley Gwajima.

Wasanii wakisalimiana na mashehe.

Salum Milongo/GPL

 

Comments are closed.