The House of Favourite Newspapers

Kura Zamgomea Anti Lulu Ijumaa Figa Pomba (IFG)

BAADA ya msanii wa Bongo Muvi ambaye pia ni video queen, Asha Salum ‘Kidoa’ kuchapa lapa wiki iliyopita, wiki hii kura nazo zimemgomea mshirikii, Anti Lulu.

Kutoka kwa Anti Lulu kwenye shindano hili kunafanya wabaki washiriki sita. Wewe msomaji ndiye mwenye dhamana ya kumchagua mshindi kwa kumpigia kura yule unayeona ana figa bomba kuliko wengine.


Jinsi ya kupiga kura! Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia sms kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki na utume kwenda namba 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.

Aidha, wadada hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la GAZETI LA IJUMAA. Tembelea na u-like!

JE, UNGEPENDA KUWA MMOJA WA WADHAMINI WA SHINDANO HILI? KAMA JIBU NI NDIYO, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0658798787. KUMBUKA KWA KUWA MDHAMINI UTAPATA NAFASI YA KUJITANGAZA.

Comments are closed.