×


Wapinzani wa Simba kutua Ijumaa

WAPINZANI wa Simba UD do Songo wanatarajia kutua nchini siku ya Ijumaa tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba. Simba inatarajiwa kurudiana…

SOMA ZAIDI

KIM WA MONDI ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

aliyokuwa anaishi Kim Nana. IJUMAA WIKIENDA NA BABA MWENYE NYUMBA Baada ya kufika nyumbani hapo, Ijumaa Wikienda lilifanikiwa kukutana na baba mwenye nyumba ayejitambulisha kwa jina moja la Raymond ambaye…

SOMA ZAIDI

TRACY AMENIPA FURAHA YA MOYO WANGU !

…kama itamuathiri chochote. ijumaa Wikienda: Linah tunashukuru kwa ushirikiano wako na Ijumaa Wikienda linakutakiwa kila la heri katika malezi ya mwanao. linah: Asante sana, name ninalipenda Gazeti la Ijumaa Wikienda…

SOMA ZAIDI

MBUNGE: NIMEPAKWA KINYESI GEREZANI

Ijumaa lina habari ya kipekee (exclusive).   Kwa mujibu wa Matiko, dhahama hiyo ya aina yake ilimfika alipokuwa mahabusu katika Gereza la Segerea jijini Dar. Matiko na Mwenyekiti wa Chadema,…

SOMA ZAIDI


Diva: Nakula Bata na Jaguar Dubai!

…mengine hayahusiani na penzi langu. ijumaa Wikienda: Kwa hiyo Dubai mnafanya nini?   Lulu Diva: Ni kula bata tu, baadaye tutakwenda zetu Nairobi nyumbani kwa wakwe. ijumaa Wikienda: Haya endeleeni…

SOMA ZAIDI

NABII BILIONEA MWANAMKE ATIKISA BONGO

miongoni mwa wachungaji wachache Afrika Mashariki na Kati wanaomiliki usafiri huo wa angani. IJUMAA WIKIENDA LAJIRIDHISHA Ijumaa Wikienda lilijaribu kuchimba na kujiridhisha kupitia mitandao mbalimbali ya nchini Kenya ambayo iliripoti…

SOMA ZAIDI

Kipa mpya Yanga atua Dar kininja

aliyokuwa akiitumikia kwa mkopo kutoka Azam FC. Meneja wa kipa huyo ambaye hakutaka kuandikwa gazetini ameliambia Championi Ijumaa, kuwa leo Ijumaa watakutana na vigogo wa Yanga kwa ajili ya kuzungumza…

SOMA ZAIDI

HARMONIZE KUJITOA WASAFI GIZA NENE!

Ijumaa lilijaribu kuisaka ofisi hiyo, lakini hadi tunakwenda mitamboni, halikufanikiwa kuifikia. Jitihada zinaendelea! CHANZO CHAZIDI KUKAZIA Chanzo kilichozungumza awali na Ijumaa kilizidi kusisitiza kuwa, kuna uwezekano mkubwa Harmonize akaamua kujikita…

SOMA ZAIDINANDY AWEKA REKODI YA KIBABE

…kusaka namna ya kuzitimiza, hakika inawezekana, Ijumaa linaripoti!   Nandy au The African Princess ameweka rekodi ya kibabe kwa kumiliki magari mengi ya kifahari akiwa angali na umri mdogo wa…

SOMA ZAIDI

UTAJIRI WA HARMONIZE TISHIO!

…Abdul Kahali ‘Harmonize’ ambaye jitihada zake zinaelezwa kumpa mafanikio makubwa na kuwa tishio, Ijumaa lina stori kamili.   Harmonize au Harmo ambaye ana takriban miaka mitano kwenye tasnia ya muziki…

SOMA ZAIDI

About us

Uwazi, Ijumaa, Championi, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda and Spoti Xtra publications. The Website is located at https://globalpublishers.co.tz/category/magazeti/ “You” means a customer of the Service (to the exclusion of business users)…

SOMA ZAIDI

UTAJIRI WA MBUNGE MATIKO BALAA

F EDHA inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ukwasi anaodaiwa kuwa nao Mbunge wa Tarime-Mjini, Ester Matiko, Gazeti la Ijumaa Wikienda linakudondoshea ubuyu kamili! Sehemu kubwa ya utajiri wa mbunge huyo…

SOMA ZAIDI

TISHIO MAUAJI WALINZI DAR!

…mwa jamii; Ijumaa Wikienda lina mkasa mzito.   Vyanzo vya habari kutoka Mtaa wa Yange Yange, Msongola, Ilala jijini hapa vinaeleza kuwa hivi karibuni katika maeneo hayo walinzi wawili wameuawa…

SOMA ZAIDI

Zengwe Bata la Dimpoz Marekani

…Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, limewashtua wengi na kuibua maswali kibao, Gazeti la Ijumaa limekukusanyia habari kamili.   TUJIUNGE MAREKANI Mapema wiki hii, Dimpoz akiwa na Gavana wa Mombasa, Hassan Joho…

SOMA ZAIDI

40 YA MENGI, K- LYNN AFUNGUKA

Ijumaa Wikienda linaye.   K-Lynn kupitia kwa rafiki yake wa karibu ambaye hakutaka kuandikwa jina gazetini aliliambia Ijumaa Wikienda juzi (Jumamosi) lililotaka kujua mjane huyo ana kauli gani kwa Watazania…

SOMA ZAIDI


Meya wa Ubungo aishangaa +255 Global Radio

Ijumaa, John Joseph (kushoto) na Mhariri wa Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula. …Akimpa ‘Hai’ Sweetbert Lukonge wa Magazeti ya Championi na Sport Xtra. …Akijuliana hali na Mhariri wa Ijumaa Wikienda, Hamida…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online