The House of Favourite Newspapers

Arsenal Kupoteza Mastaa Wake Sita

ARSENAL ipo katika hatari ya kupoteza mastaa wake sita kutokana na kukwama kuwaongeza mikataba yao. Kufuatia hali hiyo huenda Arsenal it-alazimika kuwauza mastaa hao ambao miongoni mwao ni Pierre-Emerick Aubameyang, Mezut Ozil na…

Jose Mourinho Anamwaga Fedha

HABARI kuwa kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic anatarajiwa kusa­jiliwa na Kocha Jose Mourinho ndani ya Manchester United kwa dau nono, siyo jambo geni kwa kocha huyo raia wa Ureno. Mourinho hajawahi kuwa na aibu katika suala la…

Man United Ikiendelea Hivi Itatisha

Na WAANDISHI WETU| CHAMPIONI IJUMAA| MAKALA MANCHESTER United, jana ilikuwa uwanjani kukipiga dhidi ya St Etienne katika Europa League, ambapo upande wa pili timu hiyo imetabiriwa kufanya kweli kama itaendelea na mwendo ilionao sasa.…

United Inamuonea Zlatan Ibrahimovic

CHAMPIONI| MANCHESTER, England UKWELI unabaki palepale kuwa Manchester United ina wakati mgumu sana msimu huu wa Ligi Kuu England. Timu hii chini ya kocha Jose Mourinho imeshindwa kuwania ubingwa na nafasi pekee ambayo inayo kwa sasa ni…

Usajili uliokamilika Ulaya

LONDON, England HIVI sasa kele za usajili zimepamba moto barani Ulaya. Mchuano ni mkali, kila kocha anataka kuimarisha kikosi chake. Championi Jumatatu kwa msaada mkubwa wa mtandao, linakuletea dili ambazo zilikamilika wiki iliyopita na…