The House of Favourite Newspapers

Corona Yazua Jambo Simba

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakiendelea kuitesa dunia, wachezaji wa Simba wamepewa onyo kali na kutakiwa kuwa makini kwa kuchukua tahadhari zote za kujikinga na maambukizi hayo yanayosababisha Ugonjwa wa Covid-19. …

Kocha Simba Amkomesha Mkude

BAADA ya mashabiki wa Simba kumpigia kelele kiungo mkabaji wa timu hiyo, Jonas Mkude kuwa ni tatizo katika kikosi chao kutokana na utovu wa nidhamu huku baadhi yao wakitaka afungashiwe virigo, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Sven…

Ishu ya Tchetche Simba ni Hivi

KUMBE Simba imeshindwa kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Muivory Coast, Kipre Tchetche kwa sababu ya dau la dola 300,000 (zaidi ya Sh milioni 692). Hivi karibuni, katika dirisha dogo la usajili, uongozi wa Simba ulidaiwa…

Sven Ampeleka Ajibu Simba B

BAADA ya kutokuwa na uhakika wa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Simba, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Ibarahim Ajibu, pamoja na wenzake wasiokuwa na nafasi katika kikosi cha kwanza, Ijumaa ijayo wanatarajiwa kupelekwa Simba B.…

Morrison Amfunika Tena Kagere

BERNARD Morrison siyo mtu mzuri kabisa, hivyo ndivyo unavyoweza kusema. Achana na lile bao aliloifunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Imebainika kuwa mchezaji…

Kisa Morrison, Tambwe arudi Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe, leo au kesho anatarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kwenda kumuona straika mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison akiupanda mpira tena wakati timu hiyo ikivaana na Mtibwa Sugar.…

Kichuya Atibua Hali ya Hewa Simba

SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu yake hiyo kiasi cha kuwatisha wachezaji wengine wanaocheza nafasi kama yake. Kichuya amejiunga na Simba kwenye…

Simba Yaandika Historia Bongo

RASMI sasa Klabu ya Simba imeandika historia yake mpya ambapo, Jumatatu hii timu yake ya soka itaanza kutumia viwanja vyake viwili vilivyopo Bunju jijini Dar baada ya ujenzi wa awamu ya kwanza kukamilika. Viwanja hivyo…

Yanga Yamrudisha Tambwe Dar

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umedaiwa kuwa upo kwenye harakati za kutaka kumrudisha Mrundi, Amissi Tambwe kikosini hapo kwa ajili ya kuiongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya timu hiyo. Hatua hiyo imekuja baada ya kutovutiwa na…

Tambwe Ataka Miezi Sita Yanga

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameutaka uongozi wa klabu hiyo kumpa mkataba wa miezi sita ili arudi kikosini kwa ajili ya kuondoa ukame wa mabao uliopo hivi sasa. Tambwe ni mchezaji huru na yupo…

Yanga Yaipiga Ndanda Bao 1-0

ILIWACHUKUA hadi dakika ya 73 mashabiki wa Yanga kusimama kwenye majukwaa yao na kushangilia kwa nguvu kubwa baada ya Patrick Sibomana kufunga bao la faulo nje ya 18. Yanga jana alikuwa mgeni wa Ndanda kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona…

Kamusoko azua hofu Yanga

WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kuondoka kesho Jumanne kwenda nchini Zambia kupambana na Zesco United katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, mashabiki wamepata hofu. Hofu ya kutofanya vizuri katika mchezo…

Yanga: Tunawapiga Nje Ndani

LEO fanya hivi, angalia mechi ya Liverpool na Newcastle kwa kipindi kimoja tu, baada ya hapo nenda Uwanja wa Taifa kuwasapoti wakimataifa, Yanga watakapokuwa wakicheza na Zesco ya Zambia. Yanga leo Jumamosi inakuwa mwenyeji wa…