The House of Favourite Newspapers

Chenge: Sitaki Utani!

Mwezi mmoja na ushee ukiwa umekatika tangu aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini katika serikali ya awamu ya nne, William Ngeleja kurudisha fedha alizopewa na mmoja wa wamiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, iliyotokana na zile…

Baraza jipya la mawaziri

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza…