The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Rais Barrow Awasili Gambia

Maelfu ya wananchi wa Gambia wamefurika katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo, Banjul kumlaki Rais wao, Adama Barrow wakati akiwasili nchini mwake kuiongoza nchi hiyo baada ya kuondoka madarakani kwa rais wa mda mrefu Yahya Jammeh.…

Upinzani Washinda Urais Gambia

Mgombea wa upinzani, Adama Barrow aliyeshinda urais kwa kupata kura 263,515. Mgombea wa upinzani, Adama Barrow ameshinda uchaguzi wa urais nchini Gambia baada ya kupata kura 263,515 huku Rais Yahya Jammeh akipata kura 212,099. Mkuu wa…