The House of Favourite Newspapers

David Moyes Kocha Mpya Sunderland!

Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David. Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes amepata kazi mpya. Moyes amesaini kuanza kazi ya kuifundisha Sunderland inayoshiriki Ligi Kuu England. Kocha huyo maarufu kama…

Samatta: Siondoki Aston Villa

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Aston Villa imenusurika kushuka daraja msimu huu, baada ya kumaliza…

Hawatakiwi na timu zao…

LONDON, England LIGI kubwa barani Ulaya zilianza wikiendi iliyopita kwa timu mbalimbali kutinga uwanjani zikitafuta ushindi. Kila timu ilianza kwa kuonyesha uwezo wake huku timu kadhaa zikionyesha kiwango cha hali ya juu tofauti na…

Kikosi bora cha Euro 2016 hiki hapa

Cristiano Ronaldo MSHAMBULIAJI wa Ureno Cristiano Ronaldo, anayechezea Real Madrid ya Hispania, ni miongoni mwa wachezaji walioorodheshwa kwenye kikosi bora cha michuano ya Euro 2016 kilichotangazwa na Shirikisho la Soka Ulaya, Uefa. Rui…