The House of Favourite Newspapers

We Miss Them!

WE miss them so much (tumewamisi mno)! Ndivyo wasemavyo Watanzania walio wengi wakati huu zikiwa zimesalia takriban siku 20 kumalizika kwa mwaka 2021; mwaka unaoelezwa kutawaliwa na machozi kila kona kutokana na vifo vingi vya viongozi,…

SIMANZI! MWANAFUNZI AFA AKIOGELEA

MBEYA: Simanzi ilita­wala baada ya Samwel James Chacha (25) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Ualimu Tukuyu, Wilaya ya Rung­we, mkoani Mbeya kufa­riki dunia wakati akioge­lea katika Mto Kiwira hivi karibuni.   …

Tuzo za Flora Lauwo Zazua Balaa

MWANZA: Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Show ambaye ni mkurugenzi wa taasisi yake ya Nitetee Foundation Tanzania, Flora Lauwo amezua balaa kufuatia tuzo alizozitoa Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, mwaka huu, Mwanza ambapo wengi…

Wabunge 15 ‘visu’

Sifael Paul na Brighton Masalu Upande wa pili! Bunge la 11 liliahirishwa Ijumaa iliyopita ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliwahutubia wabunge huku Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akihitimisha…

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-16

Ghafla tajiri Abdulwakil 
alirejea na fahamu zake 
tofauti na walivyofikiri madaktari,  baada ya kufungua macho yake aliangaza  huku na huku chumbani, mwanzoni hakuelewa mahali alikokuwa lakini alipoziona chupa za maji zikining’inia juu ya…

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-15

Baada ya Manjit kukabidhiwa 
kampuni yake na Multilat
eral Investiment Inc. kwa haraka alichukua uamuzi wa kuibadilisha  kampuni yake jina  na  kuiita Canada Oils & Gas Inc. Mabadiliko hayo yaliwafanya watu wengi kuamini  Manjit…