The House of Favourite Newspapers

Amanda Awashangaa Wanaume Kuhonga

0
Staa wa Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’.

GABRIEL NG’OSHA GAZETI LA AMANI, HABARI

SEXY lady kunako tasnia ya Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameshangazwa na tabia ya baadhi ya wanaume kuhonga wanawake wakati pesa wanazitafuta katika mazingira magumu na ya kusikitisha.

Akizungumza na Showbiz Xtra , Amanda alidai kuwa, anashangazwa na tabia hiyo ilihali wakijua kwamba hivi sasa pesa imekuwa ngumu kupatikana. “Mi’ nawashangaa sana wanaume wahongaji, mtu ana mke, lakini bado anahangaika na kuhonga michepuko, kama mimi ningekuwa mwanaume, nisingekuwa ninahonga aisee,” alisema Amanda.

Leave A Reply