The House of Favourite Newspapers

Aunt Akataa Ndoa na Kusah, Amtaja Ruby kwa Mara ya Kwanza – Video

0

Muigizaji Aunt Ezekiel amesema mtoto aliyezaa na Kusah ni zawadi kwa rafiki yake Wema Sepetu, kwani alishamuahidi tangu akiwa na mimba kuwa akijifungua mtoto huyo atakuwa zawadi yake.

Leave A Reply