The House of Favourite Newspapers

Baada ya Kuzichapa na Burnaboy, Davido Atangaza Kuacha Muziki

0

BAADA ya sekeseke la mastaa wa muziki kutoka nchini Nigeria @davido na @burnaboygram kuzichapa usiku wa kuamkia jana wakiwa Twist Club nchini Ghana, kwa mara ya kwanza #Davido ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa ataacha muziki –  “I go leave this music for Una”.

Bado Chanzo cha ugomvi huo hakijajulikana licha ya wawili hao kuwa katika bifu la muda mrefu, kwa upande wa Burnaboy bado hajazungumza chochote kuhusu tukio hilo.

Leave A Reply