Breaking News: Mmoja wa Pacha Waliotenganishwa Muhimbili Aitwaye Neema Afariki Dunia

Picha ya pacha waliotenganishwa Hospitali ya Muhimbili

MMOJA wa pacha aitwaye Neema waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili amefariki dunia Julai 10, 2022. Aidha mwenzake aitwaye Rehema anaendelea vizuri. Muhimbili imesema watoto hao walifanikiwa kuvuka saa 72 ambazo ni hatarishi, lakini bado walikuwa chini ya uangalizi maalum.

Taarifa kutoka Muhimbili zimethibitisha kuwa pacha mmoja aitwaye Neema amefariki dunia3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment