testiingg
The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Rais wa Zamani wa Kenya Mwai Kibaki Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 90

0

Aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90.

Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa Kenya alihudumu kwenye kiti hicho kuanzia Desemba 2002 mpaka Aprili 2013.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameagiza bendera kushushwa nusu mlingoti katika Ofisi za Serikali na Ofisi za Kidiplomasia kuanzia leo mpaka Jioni ya siku atakapozikwa Rais Mwai Kibaki.

WABUNGE WANAIBANA SERIKALI KWA MASWALI, BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA KIKAO CHA KUMI NA MOJA..

Leave A Reply