The House of Favourite Newspapers

Baba Kanumba Afariki Dunia Shinyanga Leo – Video

0

Baba Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amefariki leo Machi 8, 2020, saa nne asubuhi akiwa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga. Mdogo wake Kanumba, Mjanaeli Kanumba amethibitisha. Aliugua kwa muda mrefu.
Leave A Reply