The House of Favourite Newspapers

Burna Boy Amwambia Mama Yake Hataoa

0

SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa.

 

Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia sana ninapomwambia kuwa sitaoa kamwe…anabadilika kuwa mwekundu…”

 

Kwa hili #BurnaBoy anaingia kwenye orodha ya mastaa wa kubwa wa muziki Africa ambao bado hawajafunga ndoa na wapenzi wao. Kwa sasa Burna yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake wa muda mrefu Stefflon Don.

Leave A Reply