×

Afya

Kampuni Inayonunua Mkojo wa Wajawazito Kuchunguzwa

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya...

READ MORE

Corona Yasalimu Amri Afrika

Kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa kwa mlipuko wa virusi vya Omicron, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema idadi ya...

READ MORE

Rais wa Msumbiji & Mkewe Wakutwa na Uviko-19

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura Nyusi wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya...

READ MORE

Roman Reigns Akutwa na Corona

Bingwa wa Mkanda wa World Wrestling Entertainment (WWE)Universal Championship, Roman Reigns amekutwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo kuondolewa kwenye game...

READ MORE

92 Wafariki kwa Virusi vya LASSA

WATU 92 raia wa Nigeria wamefariki kuanzia Januari 2021 mpaka sasa kutokana na virusi vya Lassa. Taarifa zinaeleza kua majimbo...

READ MORE

Walichanjwa Watakiwa Kuchanja Tena

Kampuni inayotengeneza chanjo za Moderna imesema Watu waliomaliza chanjo zote zinazotakiwa wanapaswa kupata chanjo ya ziada (Booster) kwakuwa imeonesha kusaidia...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Maamuzi Magufmu Wizara ya Afya – Video

KATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...

READ MORE

Morrison Mjanja Kweli, Anajilinda na Corona

KIUNGO Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Bernard Morrison ameanza kujihami na changamoto za kubambikiwa...

READ MORE

 Dozi Nyingine 115,200 za Johnson & Johnson Yawasili Nchini

Tanzania imepokea shehena ya Chanjo aina ya Janssen Dozi 115,200 zitakazotumika kuchanja wananchi 115,200 kwa ufadhili wa Serikali ya Ubeligiji...

READ MORE

Waziri Gwajima: Viongozi Wasiochanja Waachie Ngazi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema msimamo wa Tanzania chanjo ni hiari...

READ MORE

Tahadhari: Kirusi Kipya cha Corona

Shirika la Afya Duniani (WHO), Novemba 26, 2021 liliripoti uwepo wa aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kiitwacho “Omicron”, kinachosemekana...

READ MORE

Biashara ya Ngono Sh 3000 Yawamaliza Wavuvi

MHITIMU wa Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo cha Afya KCMC katika taaluma ya Huduma ya Afya ya Jamii, Maseke Mgalo...

READ MORE

Mjadala Juisi ya Miwa Kuwa na Sumu

WAKATI juisi ya miwa ikionekana kupendwa zaidi Utafiti wa awali uliyofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Sayansi...

READ MORE

Mwanamke Kupata Mimba Akiwa na Mimba

SAYANSI inasitasita kuamini juu ya uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito huku akiwa na ujauzito mwingine tayari.   Lakini visa vilivyowatokea...

READ MORE

Mfumo wa Pimaovid Wapata Hitilafu

Wizara ya Afya imetoa taarifa kwa umma kuwa, kumetokea hitilafu katika mfumo wa utoaji vyeti kwa njia ya mtandao, maarufu...

READ MORE

Mbeya, Kilimanjaro Waongoza kwa Wanawake Wenye Vitambi

WANAWAKE wa Mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya na Arusha wanaongoza kwa kuwa na unene uliopitiliza na kupata viribatumbo maarufu kitambi.  ...

READ MORE

Itilima: Waganga Wamiminika Kuchanjwa

WILAYA ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu inatajwa kuongoza kwa idadi ya watu wanaojitokeza kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko19...

READ MORE

Unasumbuliwa na Vidonda vya Tumbo? Suluhisho Lipo

#DALILI 10 ZA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS) NA MADHARA YAKE VISIPOTIBIWA 0717172230 ✍🏻Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya...

READ MORE

Kipengele cha Fomu ya Chanjo Kufanyiwa Marekebisho

TIMU ya wataalam iliyoundwa na serikali kuwahamasisha wananchi wajitokeze kupata chanjo ya Virusi vya Corona imeahidi kukifanyia marekebisho kipengele kilichopo...

READ MORE

Waziri Gwajima Akabidhi Magari Mikoa Sita

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, amekabidhi magari kwa ajili ya ufuatiliaji wa...

READ MORE

Madaktari TZ Wapendekeza Chanjo Corona Kuwa Lazima

IKIWA ni mkakati wa kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo...

READ MORE

Tanzania Yatahadharishwa Homa ya Meningitis

SERIKALI ya Tanzania imesema kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika kupitia mitandao...

READ MORE

Daktari Ajiondoa Kizazi “Sitaki Kuzaa Wala Kuitwa Mama”

KATIKA hali ya kushangaza, wakati watu wanahangaika kutafuta kizazi, kusaka watoto, mwanadada aliyefahamika kwa jina la Priyanka Ramgoolam (25) ambaye...

READ MORE

Fahamu Mambo Yanayoweza Kusababisha Kifo cha Ghafla Wakati wa Tendo

MATUKIO ya watu kupoteza maisha ghafla wakati wa tendo, yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara lakini ni wachache wanaoweza kuwa wanajua...

READ MORE

CRYOGENIC PRESEVARTION: Teknolojia ya kuwahifadhi Wafu kisha Kuwafufua

Dunia inakwenda kwa kasi sana, wanasayansi wanaumiza vichwa kila kukicha ili kupambana na hofu kuu ya binadamu, kifo. Ipo wazi...

READ MORE

Dk Gwajima: Eti Mimi Kigeugeu, Ninabadilika Badilika? Hili Agano Jipya

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Doroth Gwajima amesema hakuna kilichobadilika kutoka awamu ya tano kuja...

READ MORE

Chanjo ya UKIMWI Kuanza Kesho

HATIMAYE chanjo ya Virusi vya Ukimwi (VVU) iliyokuwa inafanyiwa utafiti muda mrefu na Kampuni ya Moderna ya nchini Marekani inatarajiwa...

READ MORE

Watanzania 207,391 Wapatiwa Chanjo ya Uviko-19

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto imesema mpaka kufikia jana Agosti 14, jumla ya...

READ MORE

Haya Ndo Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

TAFITI zilizofanywa na wataalam wa masuala ya afya na saikolojia ya binadamu zinaeleza endapo ukikaa muda mrefu bila kufanya tendo...

READ MORE

Ukiwa Kundi Hili Usichanje Mpaka Ushauri wa Daktari

JOPO la wataalamu wa afya wa mashirika ya Kimarekani nchini, limetaja makundi matatu ya watu ambao hawastahili kuchanjwa chanjo ya...

READ MORE

Chanjo ya Corona: Ukitazama Video Hii, Utaamua Uchanje au Usichanje! – Video

KUMEIBUKA nadharia mbalimbali tangu chanjo ya Uviko 19 iliporuhusiwa na Serikali kuingia nchini Tanzania na baadae watumishi wa Serikali na...

READ MORE

Delta Imeongeza Maambukizi ya Corona Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na...

READ MORE

Alcohol Pills, Teknolojia ya kulewa bila kunywa

Hii inaweza kuwa habari njema sana kwa wanywaji wa pombe! Inafahamika kwamba ili ulewe, lazima unywe kinywaji chenye kilevi ukipendacho,...

READ MORE

Serikali Yasitisha Matamasha, Ibada za Mazishi Dakika 30

Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum...

READ MORE

Mikoa 10 Kipaumbele Chanjo Corona

SERIKALI imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake...

READ MORE

Kigoma Ina Wagonjwa 12 wa Corona

HABARI: Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga majumbani na wengine wanaendelea kupatiwa matibabu...

READ MORE

Nenda Sabasaba Kapimwe Macho, Miwani Gharama Nafuu – Video

Sambamba na OFA hii tuna ofa nyingine nyingii zinazohusiana na afya ya macho yako. Karibu katika Banda letu la TWCC mkabala...

READ MORE

Majina ya Madaktari Walioajiriwa na Serikali Julai 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Afya, Prof. Abel Makubi, amesema...

READ MORE

Kiwanda cha Chanjo ya Corona Kutengenezwa Nchini

SERIKALI imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi...

READ MORE