×

Afya

Dkt. Mollel Aung’oa Uongozi Hospitali ya Mount Meru

NAIBU  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi...

READ MORE

Wemi TZ Yagawa Barakoa Bure Kwa Yatima, Bodaboda

Taasisi ya Worship Empowerment Ministry Tanzania (WEMI TZ) jana imegawa vifaa vya kuzibia mdomo ‘barakoa’ katika vituo vya watoto yatima...

READ MORE

Tabibu Riziki: Mrembo Anayesumbua Kichwa Kugundua Dawa Ya Corona

  Pengine umezoea kukutana na wataalamu wa tiba asilia, wanaume, tena wengi wakiwa na umri mkubwa! Habari zikufikie kwamba licha...

READ MORE

Simba Yatoa Msaada wa Vituo vya Kunawa Mikono Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wamekabidhi vituo vya kuosha mikono,...

READ MORE

‘Life’ Dawa ya Maajabu Katika Mwili wa Binadamu

LIFE ni dawa ya kiasili itokanayo na mimea yaani “NATURAL HERBAL ORGANIC FORMULA”. Life ni zawadi tosha kwa uhai wa...

READ MORE

Corona Yaja na Mimba Milioni Saba Suniani

  DAR: Wakati janga la maambukizi ya Virusi vya Corona likiendelea kutikisa nchi 212 duniani, idadi kubwa ya wanawake inatarajiwa...

READ MORE

WHO: Covid 19 Inaweza Isiondoke Kama Ukimwi

Mkurugenzi Mtendaji wa Programu za Dharura za Afya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Mike Ryan amesema Corona Virus...

READ MORE

Moshi Mweupe Chanjo ya Corona, Italia Wadai Kupata Majibu!

WANASAYANSI duniani kote wanaumiza vichwa kutafuta chanzo ya ugonjwa ulioitikisa dunia wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na Virusi vya...

READ MORE

Dereva Bodaboda Anasiana Na Mke Wa Mtu

Kamwe usimuamini dereva wa bodaboda! Ndoa nyingi zinaingia kwenye matatizo makubwa kutokana na bodaboda hawa kuwarubuni wake za watu na...

READ MORE

Nafasi za Kazi 8 Shirika la Nyumbu (TATC) – Assistant Foundry Mans II

Assistant Foundry Man II 8 Posts Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), synonymously known as “Shirika la Nyumbu”, was formally established...

READ MORE

Majasusi Wanavyohangaika Kuiba Siri za Chanjo ya Corona

MAJASUSI ncini Marekani wanaripoti kuona taasisi za kijasusi za nchi nyengine wakijaribu kupitia mtandao kuchunguza tafiti za chanjo ya virusi...

READ MORE

Kenya Kuanza Majaribio ya Chanjo ya Corona kwa Binadamu

WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio...

READ MORE

Nchi 13 Ambazo Hazijapata Maambukizi ya Corona

MPAKA kufikia Desemba mwaka 2019 homa ya kirusi cha corona ilikuwa nchini China tu. Lakini majuma machache baadaye ikaanza kusambaa...

READ MORE

Corona: Njia Sahihi ya Kujifukiza Zilizothibitishwa na Wataalam

HII ni makala fupi inayoelezea njia nzuri ya namna ya kujifukiza ili kujikinga na ugonjwa hatari wa Covid-19 unaotokana na...

READ MORE

Mfahamu Mgunduzi wa Sanitizer

KATIKA mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona, moja njia inayopendekezwa ni matumizi ya vipukusi (sanitizers) ambavyo huua...

READ MORE

Marufuku Kuingia Hospitali ya Bugando Bila Kuvaa Barakoa

KUANZIA leo Aprili 24, 2020, mtu yeyote yule, wakiwemo wagonjwa ama ndugu za wagonjwa atakayeingia katika Hospitali ya Bugando jijini...

READ MORE

Ccm Dar, Kugawa Bure Barakoa Milioni 1

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba amesema ofisi yake imedhamiria kugawa bure barakoa...

READ MORE

Corona: Maombi na Sala Zetu Yaambatane na Vitendo – Shigongo

NAOMBA nikiri wazi kwamba mimi ni Mkristo, nimeokoka na ninampenda Yesu ambaye siku zote amekuwa mwanga na kiongozi wa maisha...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke wa Kwanza Kugundua Corona 1964

JUNE Almeida ndiye mwanamke aliyegundua kwa mara ya kwanza virusi vya corona kwenye mwili wa binadamu.  Alikuwa binti wa dereva...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Maombi Kitaifa Dhidi ya Corona

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,  kesho Aprili 22, 2020,  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi...

READ MORE

Muhimbili Yafafanua Muuguzi Anayedaiwa Kufa kwa Corona

  Kuna taarifa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Evodia Kapinga amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona na kwamba...

READ MORE

Mpango wa Elimu ya Kupambana na Corona Waanza Dar

SERIKALI imezindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwapo...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka...

READ MORE

Wanasayansi: Kinga ya Corona Virus Iko Hatua za Mwisho

  Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, chanjo 70 za coronavirus ziko katika hatua ya utafiti kwenye maabara za...

READ MORE

Bad News: Ebola Yarejea Tena Congo DR

  Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya...

READ MORE

Madaktari Bongo wafunguka dawa 4 za kutibu Corona

DAR: Wakati maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali duniani, Shirika la Afya Duniani (WHO) limeanzisha;...

READ MORE

Waziri Atangaza Wagonjwa 2 Kupona Corona – Video

 WAZIRI wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, leo Aprili 07, 2020, amesema watu wawili...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 24

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, ametangaza uwepo wa wagonjwa wengine wapya wanne wa maambukizi ya virusi vya corona...

READ MORE

Corona: Maagizo Mapya ya Wizara kwa Wasafiri

Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa...

READ MORE

Magonjwa Hatari Yaliyotikisa Dunia na Kuua Mamilioni ya Watu – Video

‘THE BLACK DEATH’ Ni Ugonjwa ulioathiri zaidi bara la ulaya na ukanda wa mediterania miaka ya 1346 hadi 1353, ambapo...

READ MORE

Mama Lishe Wachuana Kupika Chapati, Utashangaa!

AKINAMAMA Lishe wa Soko la Ilala jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, Aprili 3, 2020, wametoana jasho katika Shindano la...

READ MORE

China Yatangaza Ushindi Dhidi ya Coronavirus

SERIKALI ya China imesema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinne hivi leo, kwa mujibu wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 1000 Za Madaktari Mpya

1000 Jobs (Doctors) Ministry of Community Development, Gender and Children (MCDGC) Recruitment 2020 Free Job alert for both Fresher and...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Virusi Vya Corona Na Ujauzito

KUNA mengi yasiyofahamika kuhusu madhara ya Virusi vya Corona kwa wajawazito na akina mama wanaonyonyesha. Lakini uelewa wa madhara ya...

READ MORE

China Imetengeneza Corona Vikamwagika, Marekani Ndo Chanzo – Video

 HII ni makala fupi inayoelezea ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID – 19) ulipoanzia, ambayo imejaa mambo mengi usiyoyajua juu...

READ MORE

Madaktari: Msitishwe, Fanyeni Haya Mkiambukizwa Msife

WAKATI nchi 163 duniani zikihaha kudhibiti kuenea kwa virusi ya Corona (COVID-19), madakari Bongo wamewatoa hofu wananchi kwa kusema wasitishwe...

READ MORE

Mtu wa Pili Athibitishwa Kupona HIV

MWANAMME mmoja kutoka London, Uingereza, amethithitishwa kuwa ndiye mtu wa pili kupona virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi, wamesema madaktari. Adam...

READ MORE

Eti Pombe Inazuia Maambukizi ya Virusi vya Corona?

Kumekuwa na tetesi kwamba eti mtu akinywa pombe  hataweza kuambukizwa virusi hatari vya Corona. Uvumi huo si kweli na Wizara...

READ MORE

Ummy: Wananchi 26 Wanashukiwa Kuwa na Corona Arusha

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko zaidi la wagonjwa wa Corona na...

READ MORE