×

Celebrities

Leo Kazi Anayo, Mastaa Wamvaa Aristote

MASTAA mbalimbali wa filamu na muziki Bongo, wamemjia juu Aristotee kufuatia kauli yake aliyoitoa kwa Wema Sepetu kwamba “miaka yote...

READ MORE

Uwoya Ateketeza Milioni 20 na Wanaume “Wanawake Wanatamani Ufe”

UNAAMBIWA Irene Uwoya ametumia zaidi ya milioni 20 kula bata na marafiki zake wanne wa kiume huko Moshi mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Kisa Kumchamba Wema Kupanda Uber, Aristote Yamkuta Mazito

MAMBO yametaradadi….. Hivyo ndiyo unavyoweza kusema baada ya mdau wa masuala ya sanaa, Aristote kumwangukia malkia wa Bongo Foeva, Wema...

READ MORE

Chameleon: Nikifa Nizikwe na Jeneza la Vioo

MSANII mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanjais maarufu kama Jose Chameleon ameushangaza umma baada ya kutaka siku akifariki...

READ MORE

Harmonize humuambii kitu kwa Kiba

MSANII mwingine mkubwa nchini Tanzania, Rajab Abdul almaarufu Harmonize amethibitisha kwamba humuambii kitu kwa msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba au...

READ MORE

Miss Marekani Afariki Dunia kwa Kujirusha Ghorofani

Cheslie Kryst (30) aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019 amefariki dunia. Kwa mujibu wa Polisi, Cheslie alijirusha ghorofani jana Jumapili,...

READ MORE

Zuchu Apewa Onyo Kali

KWA muda sasa madai yameendelea kusambaa kwamba staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz na msanii wake,...

READ MORE

Paula: Kuna Maisha Baada ya Mapenzi

MAPENZI ni ya muhimu maishani mwa kila mmoja, hasa wakati umempata mtu akufaaye maishanimwako.   Kuna baadhi ya watu ambao...

READ MORE

Rapa Big Sean Athibitisha Kuwa na Asili ya Nigeria

Rapa kutoka Detroit nchini Marekani Sean Michael Leonard Anderson maarufu Big Sean ameendelea kuthibitisha kuwa na asili ya nchini Nigeria...

READ MORE

Kiba Namba Moja Bongo Fleva, Apata Mrabaha Mkubwa Kuliko Wote

Serikali ya Tanzania Kupitia COSOTA imeanza kugawa rasmi Mirabaha kwa Wasanii wa Muziki hapa nchini, ikiwa ni Utekelezaji wa Agizo...

READ MORE

Paula: Kuna Maisha Baada ya Mapenzi

MAPENZI ni ya muhimu maishani mwa kila mmoja, hasa wakati umempata mtu akufaaye maishani mwako. Kuna baadhi ya watu ambao...

READ MORE

Chris Brown Akanusha Tuhuma za Ubakaji

HATIMAYE mwanamuzuki Chris Brown ameibuka na kujibu tuhuma za kesi ya ubakaji inayomkabili baada ya mwanamke mmoja kumshtaki na kudai...

READ MORE

Barua Nzito ya Aslay kwa Marehemu Mama Yake

HUYU anaitwa Aslay Isihaka Nassor kijana aliyezaliwa Mei 6, mwaka 1995 wilayani Temeke mkoa wa Dar es Salaam na baadae...

READ MORE

Mirabaha ya COSOTA, Mt. Cesilia, Alikiba, Rose Muhando Watikisa

Serikali ya Tanzania kupitia Chama cha Haki Miliki (COSOTA) imezindua rasmi Tuzo za Wasanii pamoja na ugawaji wa mirabaha kama...

READ MORE

Matukio 3 Baada ya Country Wizzy Kuondoka Konde Gang

Baada ya kutangazwa kuondoka kwa msanii County Wizzy katika Lebo ya muziki Konde Gang World Wide kumekua na mambo mengi...

READ MORE

Ommy Dimpoz: Staa Aliyenusa Kifo Mara Mbili kwa Madai ya Sumu

OMMY Dimpoz mzee wa Pozi kwa Pozi (PKP), alizaliwa na kupewa jina la Omari Nyembo lakini kutokana na kazi aliyoiachagua...

READ MORE

Penzi la Zuchu na Diamond Balaa, Wazazi Kimeumana

Baada ya tetesi kusambaa katika mitandao ya Kijamii juu ya mahusino ya Dimaond Platnumz pamoja na mrembo Zuchu, sasa Inasemekana...

READ MORE

Yamemkuta: Chris Brown Ashtakiwa kwa Tuhuma za Ubakaji

STAA wa muziki kutoka nchini Marekani Christopher Maurice Brown maarufu Chris Brown anadaiwa kumbaka mwanamke kwenye boti iliyokuwa imeegeshwa nyumbani...

READ MORE

Harmonize Atangaza Rasmi Tamasha la Afro East Carnival

TAARIFA njema ya burudani ikufikiea popote ulipo, Mwanachama wa Chama Kikuu cha Burudani Tanzania, supastaa wa Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

50 Cent Kufichua Mauaji ya Marapa Marekani

STAA wa Muziki duniani, 50 Cent ambaye jina lake halisi ni Curtis James Jackson, alizaliwa Julai 6 mwaka 1975, ambapo...

READ MORE

Mama Dangote Amsifia Wema Sepetu

MAMA mzazi wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Bi. Sanura Kasimu almaarufu Mama Dangote amesifia aliyekuwa mpenzi wa zamani...

READ MORE

Ed Sheeran Akata Miaka Saba Bila Kutumia Simu

WAKATI mamilioni ya watu duniani kote katika karne hii wakitekwa na matumizi ya simu, hasa smartphones kiasi cha kushindwa kabisa...

READ MORE

Harmonize: Kiba Lazima Aimbe Kwenye Kumvisha Pete Mchumba Wangu

MWANAMUZIKI maarufu nchini Harmonize ameendelea kuonesha heshima kwa mwanamuziki mwenzake Ali Saleh Kiba kwa kumpongeza kwa kazi nzuri kupitia kwenye...

READ MORE

Kifo cha Ayberk Pekcan Chawaumiza Wengi

Muigizaji nyota wa tamthilia ya Ertugrul inayorushwa na kituo cha runinga cha Azam Two, Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey...

READ MORE

Kisa Kibano, Mastaa Guinea Wamkimbia Rais

IKIWA ni baada ya kuondoshwa katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya AFCON 2021 kwa kuchapwa 1-0 na Gambia,...

READ MORE

Albam ya P Funk Imekamilika, Soon Inaingia Sokoni

HATIMAYE mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse maarufu kama P Funk Majani, ametangaza rasmi ujio wa albam...

READ MORE

Kajala Amuonya Ringtone

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Frida Kajala amemuonya msanii wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Ringtone kuwa aache...

READ MORE

‘Mama Tetema’ ya Rayvanny Yatikisa Billboard

NGOMA ya ‘Mama Tetema’ aliyoimba supastaa wa Bongo Fleva, Raymnond Mwakyusa ‘Rayvanny’ pamoja na nyota wa muziki kutoka nchini Colombia,...

READ MORE

Rayvanny, Paula, Fahyma Watajwa Kwenye Tuzo

MWANAMITINDO na mzazi mwenza wa Staa wa Bongofleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma au Fahyvanny’ na mpenzi wa sasa wa...

READ MORE

Mama: Tayari Zuchu Amelipiwa Mahari

BI KHADIJA Kopa ni Malkia wa Taarab Afrika na ni mama wa malkia mwingine wa Bongo Fleva, Zuchu ambayeamesainiwa kwenye...

READ MORE

Kusah: Aunt Ndiye Amenifanya Hivi Nilivyo

KATIKA safari ya mafanikio ya maisha ya binadamu, kila siku lazima uvuke milima na mabonde ili ufike kwenye ngazi ya...

READ MORE

Vera Kufanya Tena Sajari ya Matiti

MREMBO maarufu mitandaoni nchini Kenya na Afrika Mashariki, Vera Sidika anasema atafanya tena sajari ya matiti yake ili kuboresha muonekana...

READ MORE

Mastaa: Lazima Tufunge Ndoa Mwaka Huu

“LAZIMA tufunge ndoa mwaka huu!” Hii ni kauli ya baadhi ya mastaa nchini Tanzania wakionesha kuchoshwa na maisha ya uchumba...

READ MORE

Wolper: Nikisikia Umelala Naye Nitamuacha

KUTOKA kwenye insta story ya ya supastaa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ‘Mama P’ amesema endapo  akigundua mwanamke mwingine ametembea...

READ MORE

Ulinzi wa Mondi Kama Rais Nigeria

STAA wa muziki wa Afro-Pop barani Afrika, Diamond Platnumz ameteka hisia za wengi katika Jiji la Lagos nchini Nigeria baada...

READ MORE

Harmo: Nachora tattoo usoni

HARMONIZE au Konde Boy ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameeleza uwezekano wa kuchora tattoo usoni. Harmonize au...

READ MORE

Msami Baby Afunguka Kurogwa na Msanii Mwenzake

Msanii wa Bongo Fleva, Msami Baby kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuhusiana na kurogwa na msanii mwenzake na ana...

READ MORE

Johari: Mashela yameondoka na ndoa zetu

  STAA wa kitambo hicho kunako Bongo Movies, Blandina Chagula au Johari anasema kuwa, kipindi kile walichokuwa wakiigiza wamevaa mashela...

READ MORE

Julia Fox: Natembea na Mabilionea Tu

Mrembo Julia Fox ambaye yupo katika mahusiano na Kanye West kwa sasa hivi amewajia juu watu wanaomshambulia yupo kwa Kanye...

READ MORE

Kanye West Aungana na Nike

NI HEADLINES kutoka kwenye kiwanda cha burudani, rapa maarufu duniani, Kanye West mbioni kufanya ushirikiano wa kibiashara na Michael Jordan....

READ MORE