×

Celebrities

Tiwa Savage Arudiana Kimya Kimya na Mumewe Teja wa Madawa Teebillz

NIGERIA: MWANADADA maarufu kwenye tasnia ya muziki Barabi Afrika, Tiwa Savage amerudiana na mumewe Teebillz baada ya kuachana naye kwa kile...

READ MORE

Darassa Awaombea Kwa Mungu Waliotaka Kusababisha Ajali Wakicheza Wimbo Wake Kwenye Gari

RAPA anayekimbiza kwenye game ya Bongofleva kwa sasa, Darassa huku akifanya vyema na single ya wimbo wake mpya ‘Muziki’ ameamua...

READ MORE

Diamond Aibuka na Majina 7 kwa Mtoto Wake Mchanga Aliyezaliwa Leo, Aomba Mashabiki Wamchagulie Moja

Pretoria, Afrika Kusini: BAADA ya taarifa kusambaa kwenye social media kuwa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond...

READ MORE

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Des. 6, Bofya Hapa Kuona Pichaz

Pretoria, Afrika Kusini: TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye leo...

READ MORE

Kelly Rowland Awaandikia Kitabu Akina Mama Kuwafunda Malezi Bora (‘Whoa, Baby!’)

Kelly Rowland amefanya jina lake kuwa kama sehemu ya msaada kwa maisha ya mtoto na amekuwa akiwasaidia hata mama wengine...

READ MORE

Kanye West Atolewa Hospitalini

RAPA maarufu duniani ambaye ni mume wa mwanamitindo Kim Kardashian, Kanye West anaripotiwa kurejea nyumbani zaidi ya wiki moja baada...

READ MORE

Idris Aingilia Bifu la Diamond, Dimpoz, Kiba

MUSA MATEJA, Dar es Salaam WAKATI gumzo la mvu­tano na kutupi­ana vijembe kwa wasanii watatu, Diamond Plat­numz, Ommy Dimpoz na...

READ MORE

Prince Harry Akutana na Rihana Barbados

MWANAMFALME wa Uingereza, Prince Harry amekutana na nyota wa muziki wa Pop duniani, Rihana mara mbili kwa siku katika hafla ya...

READ MORE

Rapa Tyga Ashitakiwa Kutolipia Ferrari Aliyokodi

BAADA ya kukumbana na matatizo mengi ya kifedha yakiwemo ya  kunyang’anywa magari kadhaa mwaka huu, rapa wa Marekani, Tyga, ambaye...

READ MORE

Selfie ya Diamond Akiwa Amevaa Kichupi Aibu Yake Hii Hapa!

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul  ‘Diamond Platnumz’ amezua sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii baada ya jana Jumanne kupost kwenye...

READ MORE

Ali Kiba, Diamond, Vanessa Mdee & Navy Kenzo Watajwa Kuwania Tuzo Nigeria. Wapigie Kura Hapa

NIGERIA: Kituo cha runinga cha Sound City (Sound City Tv) kimetoa orodha ya wasanii na vipingele watakavyowani katika tuzo za Sound...

READ MORE

Choki Ang’ara Kutimiza Miaka 30 Katika Muziki

Baadhi ya mashabiki wakigombea CD za nyimbo za Choki alizokuwa akizitoa bure. Ally Choki  (kulia) akiwa na mwanamuziki mkongwe, Tshimanga...

READ MORE

Baada ya Kumwacha Pasqualino, Perrie Amdaka Chamberlain wa Arsenal

Perrie katika pozi. MWIMBAJI wa kundi la Little Mix, mrembo Perrie Edwards, anamwinda mcheza soka wa timu ya England na...

READ MORE

Demu Mpya wa Cristiano Ronaldo Awatoa Udenda Midume

MWANASOKA maarufu wa timu ya Real Madrid (31), ya Hispania, Cristiano Ronaldo, amepata kimwana mpya ‘mkali’  aitwaye Georgina Rodriguez ambaye...

READ MORE

Ommy Dimpoz: Nilivurugana na Diamond Kisa Wema Sepetu, Aanika Bifu la Kiba na Diamond

STAA wa Bongo fleva hapa nchini, Ommy Dimpoz anayetamba na ngoma yake ya ‘Kajiandae’, amefungukia bifu lake na msanii mwenzake,...

READ MORE

Ali Kiba Ashinda Tuzo za NAFCA na The Nol

MWANA – BONGO FLEVA, mkali wa sauti na mashairi, Ali Saleh Kiba ‘king Kiba’ ashinda tuzo mbili za The Nollywood...

READ MORE

Sasa Anajiita Abu Hayyan, A.K.A Ostaz Juma

MFADHILI wa kitambo katika masuala ya muziki wa kizazi kipya ameamua kubadili jina na kuwaomba wadau wake wamtambue kwa jina...

READ MORE

Aunt Ezekiel: Achana na Mimi Wewe Wema Sepetu

  MASTAA wawili waliokuwa mashosti siku za nyuma, Aunty Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wameingia kwenye msuguano tena hivi karibuni...

READ MORE

Kanye West Augua Ghafla, Alazwa Hospitali!

MAREKANI: Rapper maarufu nchini Marekani aliyewahi kutangaza nia ya kugombea urais wa nchi hiyo mwaka 2020, Kanye West, jana Jumatatu...

READ MORE

Marlaw Apata Mtoto wa Tatu

Stori: Andrew Carlos MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Lawrence Malima ‘Marlaw’ amepata mtoto wa tatu kutoka kwa mkewe ambaye...

READ MORE

Busu la Jennifer Lopez Lavunja Ndoa ya Marc Anthony na Mkewe Shannon

VYANZO vya habari vya E! News na Us Weekly vimeripoti kwamba, ndoa ya mwimbaji maarufu duniani, Marco Antonio Muñiz ‘Marc...

READ MORE

Barnaba Agoma Mkewe Kuwa Mwanamuziki

Makala: Imelda Mtema | Risasi Jumamosi ELIAS Barnaba, moja kati ya ‘mafundi’ wazuri wa Muziki wa Bongo Fleva. Anaujua ‘kuufinyanga’...

READ MORE

D’Banj Apewa Tuzo Bungeni Uingereza

MWANAMUZIKI Mnigeria ambaye amekuwa kinara wa kunyakuwa tuzo katika tasnia ya sanaa, D’Banj amepata tuzo ya Entertainment Icon Award 2016...

READ MORE

Yemi Alade – Tumbum (Official Video)

MSHINDI wa Tuzo za MTVMAMA2016 na MTVMAMA2015 kipengele cha Best Female Act, Yemi Alade ameachia video ya wimbo wake mpya...

READ MORE

Ali Kiba Awatolea ‘Povu’ Wanaomtukana Wizkid Mitandaoni Kuhusu MTV EMA

DAR ES SALAAM: IKIWA ni baada ya waandaaji waTuzo za MTV EMA 2016 kumpokonya tuzo ya Best African Act mwanamuziki...

READ MORE

Miss Uganda Mwaka 1972 Afariki Dunia

KAMPALA, UGANDA: Aliyewahi kuwa Miss Uganda, Charlotte Ssali, amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika Hospitali ya Mulago alikokuwa akitibiwa. Ripoti...

READ MORE

Baada ya Kupokonywa MTV EMA, Wizkid Kuzipotezea Tuzo za Muziki Kama Awali?

wizNIGERIA: IKUMBUKWE kuwa msanii wa Nigeria anayekimbiza na ngoma zake kali ikiwemo Ojuelegba, Wizkid siku za nyuma hakutaka kujishusisha na...

READ MORE

MTV EMA Wampokonya Tuzo Wizkid na Kumpa Alikiba

IKIWA ni siku chache baada ya waandaaji wa Tuzo za MTV EMA 2016 kutoa tuzo hizo na kumtangaza msanii wa...

READ MORE

Jokate Amuandikia Ujumbe Huu Ali Kiba

Kupendwa raha! hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya staa kwenye tasnia ya mitindo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kumuandikia mpenzi wake, Ali...

READ MORE

Afrima Awards: Diamond Platnumz Anyakua Tuzo 3

Lagos, Nigeria: Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria....

READ MORE

Video Mpya: Future Feat. Drake – ‘Used To This’

Ma-rapa nguli nchini Marekani, Future na Drake wameungana tena na kuingia studio kurekodi ngoma mpya inayoitwa “Used to This.” Video...

READ MORE

Ngoma Mpya ya Diamond na Ne-Yo Kutamba Kwenye TV na Redio za Marekani

STAA wa Bongo fleva asiyekuwa na mpinzani Afrika Mashariki, Diamond Platnumz amesema kwamba wimbo wake mpya ambao haujatoka ‘Marry You’...

READ MORE

Wema Amdondoshea Povu Shosti Wake Muna, Pachimbika!

KIMENUKA TENA! Jana Ijumaa, Novemba 4, 2016, hali ya hewa ilichafuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya staa wa filamu...

READ MORE

Yemi Alade: Nilimtabiria Nandy Atakuwa Msanii Mkubwa

DAR ES SALAAm: Msanii wa kike maarufu nchini Nigeria na Afrika kwa ujumla ambaye atakuwa ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza...

READ MORE

Mercy Johnson ni Mwathirika wa Ubaguzi wa Rangi Nollywood

NIGERIA: Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria (Nollywood), Mercy Johnson Okojie (32) ameanika namna ambavyo amekuwa akinyanyaswa naa baadhi ya waandaaji wa...

READ MORE

Tekno Kuungana na Ali Kiba, Wiz Kid, Davido na YCEE

NIGERIA: Taarifa ambazo zipo chini ya carpet ni kwamba msanii wa muziki nchini Nigeria, Tekno ataungana na wasanii wengine wakali...

READ MORE

Baada ya Kuhamia kwa Jay Z, Tiwa Sawage Adaiwa ‘Kuuza’ Roho Yake’

NIGERIA: Wanigeria wanaamini kuwa, mwanadada maarufu kwenye tasnia ya muziki kutoka nchini humo, Tiwa Savage ameuza roho yake na kujiunga...

READ MORE

Barua ya Aliyoiandika Tupac Akiwa Gerezani Yauzwa kwa Dola 172,75

IKIWA ni miaka 20 tangu kifo cha aliyekuwa rapa mkongwe, Tupac ambaye mpaka sasa bado yumo kwenye mioyo ya wapenzi...

READ MORE

Choki Apania Kuweka Rekodi Mpya Tamasha la Miaka 30 ya Uimbaji Wake

   MWIMBAJI maarufu na mkongwe kwenye muziki wa dansi, Ali Choki (pichani juu) ameeleza kuwa atafanya makamuzi ya hatari kwenye...

READ MORE