MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, jana Alhamisi, Machi 12, 2020, aliongoza mamia ya waombolezaji waliojitokeza kuaga mwili wa...
READ MORERAIS John Magufuli jana (Alhamisi) Machi 12, 2020, alimlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kiasi cha Tsh...
READ MOREMKURUGENZI wa mashtaka DPP, Biswalo Mganga, leo Machi 12, ameitisha mkutano na waandishi wa habari na kutolea ufafanuzi hoja mbalimbali...
READ MOREMWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Alikiba, leo Jumatano, Machi 11, 2020, anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni yao ya...
READ MORE MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ishu mbalimbali kuelekea katika uzinduzi wa album...
READ MOREMUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na ule ugomvi uliodumu kwa miaka 8 kati ya wazazi wa aliyekuwa staa wa...
READ MOREVURUGU zimejitokeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya polisi kuwazuia watu waliokuwa wakitaka kuingia ndani ya chumba cha mahakama...
READ MOREYapata miezi tisa sasa tangu Muigizaji maarufu nchini, Bi Hindu aanze kusumbuliwa na ugonjwa wa goita pamoja na mifupa kusagika...
READ MOREWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi, William Lukuvi, amemaliza rasmi ulaji uliokuwa unafanywa na baadhi ya maafisa ardhi...
READ MORE Makamu wa Rais Samia Suluhu ameitaka jamii kushirikiana na Serikali katika kupambana na ukatili dhidi ya wanawake na watoto...
READ MORE Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo akitoa neno leo Machi 8, 2020 mbele ya wanawake, wakati wa hafla...
READ MORE WAKATI leo Yanga ikiwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kuna vita ya mabeki wa kulia...
READ MOREMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka Watanzania kuachana na ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga,...
READ MORERaha ya Dela ni kujua namna ya kulishika, shuhudia bibi harusi alivyomwaga mauno kwa bwana wake bila haya hadharani. TAZAMA...
READ MOREMkurugenzi wa Foreplan International, Dk Mwaka amezungumza na Global TV ONLINE namna alivyoaanza maisha mpaka kumiliki kampuni yake binafsi pamoja...
READ MOREKuelekea Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga mashabiki wa timu hizo kutoka kariakoo wametambiana huku kila upande ukitamba...
READ MOREKongamano la wanandoa la mwaka la Marriage Revival Dinner Party lililoandaliwa na Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mchungaji...
READ MOREMtangazaji Braka Mpenja ametoa maoni yake kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa kesho Jumapili, Machi...
READ MORENAIBU WAZIRI NDUMBARO AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU CORONA Mahojiano maalumu na Naibu waziri wa mambo ya ndani na ushirikiano wa...
READ MOREBibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Mwanahamisi Rashid Kisome, mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani amewekwa Rumande siku tatu kwa kuuza...
READ MORENi maajabu unaweza kusema, baba mmoja mwenye umri wa miaka 40 mkazi wa Mburahati Jijini Dar es salaam, amekuwa akipitia...
READ MOREWatu 82 raia mataifa tofauti wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa la kuingia na kuishi nchini...
READ MOREAMA kweli duniani kuna mambo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia paka aliyefananishwa binadamu na kuitwa ‘paka mtu’ kuwasababishia hofu...
READ MOREVideo hii inakuonyesha tukio zima la mwanamuziki, Aslay, kudaiwa kumshushia kichapo mzazi mwenzake anayefahamika kwa jina la Sonia, baada ya...
READ MOREMWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, leo Februari 04, ametangazwa Rasmi kuwa balozi wa Coral Paints katika mkutano na waandishi...
READ MOREWATU wengi wamekuwa wakitamani mafanikio ya watu Matajiri pasipo kufahamu changamoto za kimaisha zilizowainua kwenye maisha yao mpaka kufanikiwa kwao...
READ MOREGLOBAL TV Online imemtembelea ofisini kwake Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar ss Salaam, SACP Lazaro Mambosasa na kuzungumza...
READ MOREBinadamu tumekuwa tukikutana na mikasa katika maisha ambayo inabaki kuwa funzo na mara nyingine huwa kama alama au bahati. Kijana...
READ MOREKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amezidi kuing’ang’ania serikali juu ya suala la Tume huru ya uchaguzi. Zitto...
READ MOREKIONGOZI wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa, Mchungaji Paul Bendera jana Jumapili ya Februari 1, 2020, amefanya ibada ya...
READ MOREKwa kawaida nyoka hutazamwa kwa hatari kubwa, waerevu na mara nyingine hata kuhusishwa na imani potofu na uchawi katika baadhi...
READ MORE Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muunngano Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kikazi mkoani Tanga kwa lengo...
READ MORE