×

Habari

Fahamu Maisha ya Wicknell Chivayo, Utoto, Biashara, Utajiri, Familia Hadi Kifo

HARARE, Zimbabwe – Jina la Wicknell Munodaani Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, lilikuwa miongoni mwa majina yaliyotajwa sana katika ulimwengu...

READ MORE

Stanbic Yaahidi Kuwafungulia Wateja Milango Ya Fursa Katika Wiki Ya Huduma Kwa Wateja

Dar es Salaam, Tanzania, Jumatatu tarehe 5 Oktoba 2026. Benki ya Stanbic Tanzania leo imezindua Wiki ya Huduma kwa Wateja...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Absa yaahidi Kuboresha Huduma kwa Kusikiliza Maoni ya Wateja

DAR ES SALAAM: Absa Bank Tanzania imeahidi kuendelea kuboresha huduma zake kwa kuzingatia maoni na mahitaji ya wateja, huku ikisisitiza...

READ MORE

Wajawazito Liwale Kunufaika na Vifaa vya Uzazi Kutoka Yas

LIWALE, LINDI — Wajawazito wanaohudumiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi wanatarajiwa kunufaika na vifaa mbalimbali vya uchunguzi...

READ MORE

Fursa za Ajira Saudi Arabia na UAE Zatangazwa kwa Watanzania, Maombi Mwisho Oktoba 4, 2026

BRAVO JOB CENTER AGENCY LIMITED inatangaza fursa za ajira kwa waombaji wenye sifa mbalimbali za kufanya kazi Saudi Arabia na...

READ MORE

Mume Adaiwa Kumuua Mkewe kwa Risasi Bunju B, jijini Dar – Video

DAR ES SALAAM: Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya...

READ MORE

Netherlands Kutafuta Ushindi wa Pili Dhidi ya Serbia leo

Timu ya taifa ya Netherlands (Uholanzi) itakuwa mwenyeji wa Serbia Jumapili, Oktoba 4, 2026, katika mchezo wa nne wa Kundi...

READ MORE

Ndejembi: Afrika Iongeze Kasi ya Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi, amesema Afrika ina sera, mikakati na makubaliano mazuri ya...

READ MORE

Marekani Yawafukuza Wajumbe Wawili wa Iran Baada ya UNGA

WASHINGTON: Marekani imewafukuza nchini humo wajumbe wawili wa ujumbe wa Iran waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA), baada...

READ MORE

Leprechaun Amefika Kutoa Hazina Kwa Mabingwa

Ulimwengu wa kasino umevishwa jezi mpya ya burudani kupitia Meridian Leprechaun Wish, mchezo unaokufungulia mlango wa safari ya kichawi yenye...

READ MORE

Chivayo na Mkewe Kuzikwa Bila Kuonyeshwa Miili, Familia Yafunguka

Familia ya mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, imesema hakutakuwa na utaratibu wa kuonyeshwa miili ya marehemu Chivayo na mke wake,...

READ MORE

Vodacom Coastal Classic Yaunganisha Michezo, Utalii na Maendeleo ya Vijana

Bagamoyo, Pwani – Oktoba 4, 2026: Uzinduzi wa mashindano ya Vodacom Coastal Classic umeonesha namna ambavyo michezo inaweza kuwa chachu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Familia ya Chivayo Yataka Watoto Walindiwe Urithi wa Baba Yao

Familia ya mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, imesema itahakikisha watoto wake wanapata urithi wa mali alizoacha, huku ikimuomba Rais...

READ MORE

Sudan: Al-Burhan Aikabidhi Nchi kwa Islamic Movement Kujadiliana Nao Kusaka Amani

Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vikiendelea, baada ya kuzuka katikati ya Aprili 2023, ushindani wa kikanda na...

READ MORE

Makamu wa Rais Alivyowasili Misri Kuiwakilisha Tanzania Mkutano wa AU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi, amewasili jijini New Alamein nchini Misri, tayari kwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Atangaza Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ACT-Wazalendo Yapata Nafasi Nne

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza mabadiliko katika Baraza la Mawaziri, hatua...

READ MORE

Serengeti Lite Nyota Bigi Msimu wa Pili Yawakutanisha Vijana Dar es Salaam

Dar es Salaam iliwaka wakati vijana wenye vipaji mbalimbali walipokutana katika usaili wa Serengeti Lite Nyota Bigi Msimu wa Pili,...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aagiza Uchunguzi wa Majengo ya Hospitali Ya Bunda

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kupatiwa taarifa ya uchunguzi kuhusu majengo ya Hospitali...

READ MORE

Trump Akabiliwa na Kesi Mpya Mahakama ya Juu Marekani

WASHINGTON: Rais wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kukabiliwa na mfululizo wa kesi katika Mahakama ya Juu ya Marekani wakati muhula...

READ MORE

Halloween Hii Samaki Wamegeuka Kitita Kwenye Big Bass Splash 1000

Halloween hii, ziwa limebadilika na kuwa uwanja wa kusaka ushindi. Meridianbet inakuletea Big Bass Halloween Splash 1000, mchezo wa kuvua...

READ MORE

Mr. Eazi Aibuka na Kishindo Kipya ‘Comfort’ Akimshirikisha Moliy

STAA wa muziki wa Afropop, Mr. Eazi, amerejea na kazi mpya ya muziki iitwayo “Comfort”, akimshirikisha mwanamuziki kutoka Ghana, Moliy,...

READ MORE

Rais Mnangagwa Amwaga Machozi Msibani kwa Chivayo, Amuenzi kwa Hadhi ya Shujaa wa Mkoa

HARARE, ZIMBABWE: Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametembelea familia ya mfanyabiashara na mfadhili maarufu Wicknell Chivayo jijini Harare kutoa pole...

READ MORE

Harmonize Afika Basata, Apewa Mwezi Mmoja wa Uangalizi

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kuwa msanii Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, amepewa mwezi mmoja wa uangalizi...

READ MORE

Shigongo Awataka Watanzania Kulinda Amani na Umoja – Video

BUCHOSA, MWANZA: Mbunge wa Buchosa, Erick James Shigongo, amewataka Watanzania kuendelea kulinda amani, umoja na mshikamano uliopo nchini, akisisitiza kuwa...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 10.65, Yakamilisha Mashauri 130 ya Ukwepaji Kodi

DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 10.65 katika kipindi cha Julai hadi Septemba 2026, ikiwa...

READ MORE

Wizara ya Elimu Yabadili Tarehe ya Kufunga Shule, Sasa ni Novemba 13

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeagiza shule zote za msingi na sekondari Tanzania Bara kufungwa Novemba 13,  2026, badala...

READ MORE

Mama Maria Nyerere Awapa Baraka Washiriki wa Vodacom Nyerere Cycling Tour

Mjane wa Hayati Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere amekutana na waendesha baiskeli wanaoshiriki msafara wa Nyerere Cycling...

READ MORE

Wicknell Chivayo Atunukiwa Hadhi ya Shujaa wa Mkoa Baada ya Kifo

HARARE, ZIMBABWE: Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amempa hadhi ya Shujaa wa Mkoa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini humo, Wicknell Chivayo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Muhimbili Yafanya Mapinduzi ya Huduma za Mama na Mtoto – Video

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imewekeza Sh1.8 bilioni katika ujenzi na uboreshaji wa jengo pamoja na miundombinu ya chumba cha...

READ MORE

Ajali ya Helikopta ya Wicknell Chivayo Mambo Mapya Yafichuliwa

Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Zimbabwe (CAAZ) imetoa taarifa za awali kuhusu ajali ya helikopta iliyosababisha kifo cha mfanyabiashara...

READ MORE

Makamu wa Rais Aitaka Tanesco Kuwezesha Wananchi Kupata Umeme kwa Mkopo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameiagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kwa kushirikiana na...

READ MORE

Rais Mwinyi Kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar Kesho

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari kesho,...

READ MORE

Elimu ya fedha kuimarisha uwezo wa wahitimu kufanya maamuzi sahihi

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amesema ujumuishaji wa elimu ya fedha katika...

READ MORE

Zidane Akutana na Mtihani Mzito, Ufaransa Yakabiliana na Italia

Je unajua kuwa kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda leo ikawa...

READ MORE

Putin Aonya NATO Kuhusu Kaliningrad, Kutumia Silaha Zote Ikishambuliwa

Moscow, Urusi — Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi yake iko tayari kutumia silaha zote ilizonazo, ikiwemo silaha za...

READ MORE

Paka na Panya Wapeleka Msisimko Mpya Kwenye Cat ’n’ Rat

Umeshawahi kuona mchezo ambao paka na panya wanaweza kufanya kila mzunguko uwe ya kusisimua? Sasa hilo limewezekana kupitia Cat ’n’...

READ MORE

Dereva wa Miaka 78 Aingiza Gari Ndani ya Hekalu, Watu 3 Wajeruhiwa

Bangkok, Thailand — Tukio la kushtua limetokea nchini Thailand baada ya gari la umeme kuvamia eneo la hekalu na kuwagonga...

READ MORE