×

Habari

Familia Yalia: Sindano 15 Kila Siku, Msichana Ahitaji Msaada, Ateseka Miaka 18 – Video

Msichana Mariam Magomi, mkazi wa Sinza C jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu makali kwa zaidi ya miaka 18...

READ MORE

Video: Wimbo wa Ozalima wa Mbosso Wabeba Hisia Nzito za Mapenzi

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso, ameendelea kuwavutia mashabiki kupitia wimbo wake mpya “Ozalima” ambao umeibua mjadala mkubwa kutokana...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Amri Kali, Walioiba Milioni 500 Manyoni Kukamatwa – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza watumishi waliohusishwa na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 500 katika Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE

Trump: Iran Imekubali Kutoendeleza Silaha za Nyuklia, Mazungumzo Bado Magumu – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amesema amepewa dhamana kutoka Iran kwamba taifa hilo halitatengeneza silaha za nyuklia, huku taarifa zikieleza...

READ MORE

Fortune Farm Inatikisa Wabashiri Wote Wa Kisasa

Mtaa umebadilika baada ya kuwasili kwa Fortune Farm ndani ya Meridianbet. Huu ni mchezo unaowapa vijana nafasi ya kusaka ushindi...

READ MORE

Harmonize Aipeleka Bongo Flava Zambia Kupitia “Hichilema” – Video

Wimbo mpya wa Harmonize akimshirikisha Chile One wa Zambia uitwao “Hichilema” umeendelea kuvuta hisia kubwa Afrika Mashariki na Kusini mwa...

READ MORE

Job Junction Tanzania Watangaza Nafasi ya Receptionist

Job Junction Tanzania Instagram imetangaza nafasi ya kazi ya Receptionist kwa waombaji wenye sifa zinazohitajika kufanya kazi jijini Dar es...

READ MORE

Meridianbet Yagusa Mioyo ya Wananchi kwa Kutoa Vyandarua Hospitali ya Mabwepande

Kampuni ya Meridianbet imeonesha tena moyo wa kijamii kwa kutoa msaada wa vyandarua maalumu kwa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni...

READ MORE

Tyla na Future Waungana Kwenye Wimbo wa Kombe la Dunia 2026

Msanii nyota kutoka Afrika Kusini Tyla anatajwa kuungana na rapa maarufu wa Marekani Future kwenye wimbo mpya wa Kombe la...

READ MORE

Vitu Muhimu 9 vya Kuzingatia Wakati wa Kununua Gari

Kununua gari ni uamuzi mkubwa wa kifedha na unahitaji uangalifu mkubwa. Iwe unanunua gari jipya au lililotumika, kuna mambo muhimu...

READ MORE

Miaka 18 Baadaye: Jk Akutana Tena Na Catherine, Binti Aliyefanyiwa Upasuaji Wa Moyo Akiwa Na Miaka Minne – Video

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mei 29, 2026 amekutana tena na Bi. Catherine P. Conrad...

READ MORE

Urusi Yaishambulia Romania, Balozi Wa Urusi Afukuzwa, Hofu Yatanda Ulaya Mashariki -Video

Rais wa Romania Nicușor Dan ameitisha kikao cha dharura cha baraza kuu la ulinzi wa taifa kufuatia kile alichokitaja kuwa...

READ MORE

Wafanyabiashara Wapata Mbinu za Ukuaji Kupitia NMB Business Club

Mwenyekiti wa NMB Business Club Mkoa wa Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT),...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Aongoza Viongozi Mazishi ya Mama Magufuli Chato, Geita

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, ndugu na...

READ MORE

Marekani na Iran Wakubaliana Kusitisha Vita kwa Siku 60

Mvutano kati ya Iran na United States unaweza kuingia katika hatua mpya ya utulivu baada ya mataifa hayo mawili kuripotiwa...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: Mama Magufuli Ameacha Mfano wa Malezi na Uzalendo – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Meta Yazindua Huduma za Kulipia Kwa Facebook, Instagram na WhatsApp

Kampuni ya teknolojia ya Meta imetangaza rasmi kuzindua huduma mpya za usajili wa kulipia kwa majukwaa yake ya Facebook, Instagram...

READ MORE

Marekani Yaionya Oman Kuhusu Ushuru Katika Mlango wa Bahari wa Hormuz

Waziri wa Fedha wa Marekani, Scott Bessent amesema Oman imeihakikishia Marekani kuwa haina mpango wa kuweka ushuru kwa meli zinazopita...

READ MORE

Nchimbi Aungana na Waombolezaji Katika Ibada ya Mama Magufuli (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi amefika katika Viwanja vya Kilimani vilivyopo Wilaya ya Chato...

READ MORE

Wanafunzi 8 Washikiliwa Kufuatia Moto wa Shule ya Utumishi Girls Kenya

Polisi nchini Kenya wamewakamata na kuwazuilia wanafunzi wanane kuhusiana na mkasa wa moto uliotokea katika shule ya bweni ya wasichana...

READ MORE

Washindi Wa Kwanza Wa Kampeni Ya “Kila Muamala Ni Bao La Ushindi” Wakabidhiwa Zawadi Zao

29.05.2026, Dar es Salaam – Kampuni ya Mixx imewakabidhi zawadi washindi wa awamu ya kwanza wa kampeni ya “Kila Muamala...

READ MORE

Karatu Kunufaika na Uwekezaji wa Kituo cha Mafuta cha Orxy

UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha umeelezwa kuwa ni hatua muhimu ya kuongeza fursa...

READ MORE

Mashabiki wa Tyla Wapaniki Baada ya Kutoweka Mitandaoni Kabla ya APop

Mashabiki wa msanii wa Afrika Kusini, Tyla, wameibua taharuki mtandaoni baada ya nyota huyo kuzima akaunti zake za X na...

READ MORE

Fahamu Madhara ya Kuendesha Gari Taa ya Mafuta Ikiwa Inawaka

Madereva wengi wana tabia ya kupuuza taa ya mafuta pale inapowaka kwenye dashboard ya gari, wakiamini bado wanaweza kusafiri umbali...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Awasili Chato Kuhudhuria Mazishi ya Mama wa Hayati Magufuli

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato Mkoani Geita, ambapo anatarajiwa kumwakilisha...

READ MORE

JKT Yaita Vijana 60,000 Waliohitimu Kidato Cha Sita Kujiunga Mafunzo ya Lazima

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuwaita vijana 60,000 waliomaliza kidato cha sita mwaka 2026 kujiunga na mafunzo ya lazima...

READ MORE

Rais Samia Asema Wananchi Bado Hawana Imani Kubwa na Polisi (Picha +Video)

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna kazi kubwa ya kufanyika ili wananchi waweze kuliamini zaidi Jeshi la...

READ MORE

Video: Mahakama Yaifuta Kesi ya Mgogoro Mgawanyo wa Rasilimali ya Chadema

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Mei 28, 2026 imeifuta rasmi hati ya kesi...

READ MORE

Polisi Wachunguza Tukio la Mwanamke Kumwagiwa Maharagwe ya Moto, Familia Yafunguka

Mwanamke mmoja mkazi wa Kibera nchini Kenya, Maureen Masili, amelazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta baada ya kudaiwa kushambuliwa...

READ MORE

Wanafunzi 16 Wafariki, 74 Wajeruhiwa Katika Ajali Ya Moto Shuleni Kenya

WANAFUNZI 16 wamefariki dunia huku wengine 74 wakijeruhiwa baada ya moto mkubwa kuteketeza bweni la wanafunzi katika Chuo cha Wasichana...

READ MORE

Marekani Yaishambulia Iran Mara ya Pili Ndani ya Siku Tatu, Trump Akanusha Makubaliano

Marekani usiku wa kuamkia leo Mei 28, 2026 imefanya mashambulizi mapya mara ya pili ndani ya siku tatu  nchini Iran...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Arejea Tanzania Baada Ya Mkutano Wa AfDB Congo

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mabadiliko ya Mwili ya Sinenhlanhla Khoza (31) Yaibua Hofu Baada ya Kuzeeka Ghafla – Video

Mtubatuba, KwaZulu-Natal – Hadithi ya Sinenhlanhla Khoza, Dada mwenye umri wa miaka 31, imezua mjadala mkubwa nchini Afrika Kusini baada...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 28, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Waziri Mkuu aipongeza NEMC kwa miaka 40,Aaahidi kusimama kidete iwe mamlaka

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezindua mfumo mpya wa kidijitali wa kufuatilia uchafuzi wa mazingira wa Baraza la Taifa la...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Akutana na Mohamed Janabi Brazzaville

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO AFRO), Profesa...

READ MORE

Fainali ya Conference: Crystal Palace vs Rayo Vallecano, Nani Ataandika Historia Leo?

Fainali ya Conference League inatarajiwa kupigwa siku ya leo kule Ujerumani huku kila timu ikiwa na uchu wa kufanya vizuri...

READ MORE

Rais Museveni Amteua Mke Wake Kuwa Waziri wa Elimu na Michezo

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua tena mkewe, Janet Museveni kuendelea kuhudumu kama Waziri wa Elimu na Michezo katika Baraza...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aeleza Mafanikio ya Tanzania Kwenye Usimamizi wa Fedha Afrika

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki mdahalo maalum wa uzinduzi wa taarifa ya African Economic Outlook 2026 ambapo ametoa taswira...

READ MORE

Kafulila: PPP Yaleta Mapinduzi Makubwa Kwenye Huduma za Hijja Saudi Arabia

Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre, David Kafulila amesema mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) umeleta mageuzi...

READ MORE