×

Habari

Video: Polisi Wakamata Mgambo Watatu kwa Mauaji ya Kijana Bugando

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata askari mgambo watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Rashid Masunga...

READ MORE

Mtaalamu wa Lishe Afichua Matunda Yasilofaa Kula Asubuhi

Mtaalamu wa lishe, Nichola Ludlam-Raine, amefichua aina ya matunda ambayo hayapendekezwi kuliwa mara kwa mara wakati wa kifungua kinywa, akieleza...

READ MORE

Huduma za Afya Darfur Zazorota Baada ya Hospitali ya El Daein Kushambuliwa

Hospitali ya Kufundishia ya El Daein iliyopo Darfur Mashariki imeingia katika hali ya kufungwa kabisa baada ya kushambuliwa kwa shambulio...

READ MORE

Raia wa Iran Walalamikia Hatari ya Kukatika Umeme na Maji

Raia wa Iran wameanza kuingiwa na hofu kubwa ya kukatika kwa huduma muhimu kama maji na umeme, huku mvutano kati...

READ MORE

Video: Iran Yatoa Onyo Kali kwa Marekani, Sekta ya Nishati Yawa Shabaha

Iran imezidi kuonesha msimamo wake mkali na wa hatari katika mzozo unaozidi kuongezeka na Marekani, ikitoa onyo wazi kwamba itachukua...

READ MORE

Israel Yaripoti Majeruhi Zaidi ya 4,500 Kufuatia Mashambulizi ya Iran

Wizara ya Afya ya Israel imesema idadi ya watu waliojeruhiwa na kupelekwa hospitalini tangu kuanza kwa vita na Iran imefikia...

READ MORE

Marekani Yaipa Iran Saa 48 Kufungua Strait of Hormuz

Rais wa Marekani, Donald J. Trump, ametuma ujumbe mkali akiilenga Iran kuhusu hali ya usalama katika eneo la Strait of...

READ MORE

Kihenzile Aimarisha Ushirikiano wa Red Cross Tanzania na Afrika Kusini

Johannesburg: Naibu Waziri wa Uchukuzi, ambaye pia ni Rais wa Red Cross Tanzania, David Kihenzile, ametembelea ofisi za Red Cross...

READ MORE

Yas Yaongeza Nguvu Uhifadhi wa Mazingira Mlima Kilimanjaro

Moshi, Kilimanjaro – 21 Machi 2026. Yas imeendelea kusukuma mbele juhudi za uhifadhi wa mazingira kupitia kampeni ya Yas Green...

READ MORE

Mama Mariam Mwinyi Atoa Mkono Wa Eid Kwa Wazee Na Watoto Yatima Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi, ametoa Mkono wa Eid...

READ MORE

Rais Samia Awasisitiza Viongozi wa Dini Kukuza Uadilifu na Umoja (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewapongeza viongozi wa dini nchini kwa mchango wao mkubwa katika...

READ MORE

Rais Hussein Ali Mwinyi Ashiriki Swala ya Eid al-Fitr Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Swala ya Eid Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohammed VI Kinondoni, Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA...

READ MORE

Mahakama Kuu Yamhukumu Afisa wa Polisi kwa Kuhusika na Kifo

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Iringa, imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela Sajenti Rogers Mmari baada ya kupatikana na...

READ MORE

Stanbic Yatajwa Benki Bora ya Kimataifa kwa Wateja Maalum

Dar es Salaam, 23 Machi 2026 – Benki ya Stanbic imepata tuzo tatu za kimataifa kutoka jarida la Euromoney ambazo...

READ MORE

BAKWATA Yamtangaza Rais Samia Kuongoza Baraza la Eid Jijini Dar

Waislamu nchini Tanzania kesho Machi 21, 2026  wanatarajiwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri kwa shangwe na ibada maalum, ikiwa ni...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lajipanga Kulinda Wananchi Wakati wa Eid El Fitri

Kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya Eid El-Fitri, Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwa limejipanga kikamilifu kuhakikisha usalama wa wananchi unadumishwa...

READ MORE

TMA Yatangaza Tahadhari Ya Mvua Kubwa nchi Nzima Machi 20–21

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza...

READ MORE

Mwimbaji wa Injili Irene Robert Afariki Ghafla

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Irene Robert, amefariki dunia leo Machi 20, 2026 baada ya kuugua ghafla. Taarifa za...

READ MORE

Rais Mwinyi Awasisitiza Waumini Kuendeleza Maadili Mema Baada Ya Ramadhani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza waumini wa dini ya Kiislamu kuyaendeleza...

READ MORE

Kihenzile Avutiwa na Uwekezaji wa Bandari ya Durban, Aisifia Ushirikiano wa Sekta Binafsi

DURBAN: Naibu  Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea Bandari ya Durban iliyopo nchini Afrika Kusini, kwaajili ya kujionea utendaji na...

READ MORE

Iran Yathibitisha Kuuawa kwa msemaji wa IRGC katika shambulizi la kushtukiza

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (Islamic Revolutionary Guard Corps) limethibitisha kifo cha msemaji wake, Brigedia Jenerali...

READ MORE

Polisi Dar Wakamata Wawili Kwa Mauaji ya Athumani Nyanza

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata watu wawili akiwemo...

READ MORE

Hivi Ndivyo Iron Dome Inavyofanya Kazi Kuzuia Makombora Hatari Israel

Katika ulimwengu wa leo unaokabiliwa na changamoto nyingi za kiusalama, teknolojia imekuwa silaha muhimu katika kulinda maisha ya raia na...

READ MORE

Bodaboda Aibiwa Milioni 2 Baada ya Kushawishiwa Biashara – Video

Mkazi wa Dar es Salaam, Oswad Kimario (27), ambaye ni mzaliwa wa Moshi mkoani Kilimanjaro, amedai kutapeliwa kiasi cha shilingi...

READ MORE

Wakazi Wa Moshi Na Arusha Wajitokeza Kwa Wingi Kuchukua Kits Za Yas Kili Marathon

Moshi, Kilimanjaro – 20 Machi 2026: Shauku na hamasa ya kushiriki mbio za Yas Kili International Half Marathon (21kms) imeonekana...

READ MORE

Netanyahu Apongeza Wananchi wa Israel, Atuma Ujumbe wa Hatari Kimataifa – Video

Waziri Mkuu wa Benjamin Netanyahu ameendelea kusisitiza msimamo wake kwamba vita vinavyoendelea vinapaswa kuonekana kama mapambano dhidi ya tishio kubwa...

READ MORE

Coca-Cola System Aims To Strengthen Water Security In Tanzania With USD 1.94 Million Investment

26 March 2026, Morogoro, Tanzania – The Coca-Cola system in Tanzania is investing USD 1.94 million to help restore the...

READ MORE

Oryx Gas Yatoa Msaada wa Vyakula New Faraja Orphanage Kuelekea Eid

KITUO cha kulea watoto yatima cha New Faraja Orphanage kilichopo Mburahati jijini Dar es Salaam kimepokea msaada mkubwa wa vyakula...

READ MORE

Airtel Yaonesha Mchango Mkubwa Uchumi wa Kidijitali kwenye MIF 2026

Arusha, Tanzania – Airtel Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama mshirika muhimu katika mabadiliko ya uchumi na maendeleo ya kidijitali...

READ MORE

Mdogo Wa Marehemu Afichua Mawasiliano Na Mke Wa Nyanza Anayedaiwa Kumuua – Video

Mdogo wa marehemu, Athumani Nyanza, pamoja na Hawa Nyanza, wamezungumza kwa uchungu baada ya kueleza tukio la kushangaza walilolipata walipofika...

READ MORE

Stanbic Bank Yarahisisha Biashara ya Bilioni 200 Kati ya Tanzania na China

Benki ya Stanbic Tanzania imefanikisha miamala ya biashara yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 200 kati ya wafanyabiashara wa...

READ MORE

Rais wa Lebanon Atoa Wito wa Amani Kati ya Israel na Hezbollah

Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, ametoa wito mpya wa kusitishwa kwa mapigano na kuanza kwa mazungumzo ya kidiplomasia na Israel,...

READ MORE

Siri ya Uteuzi wa Askofu na Mamlaka kutoka Vatican

Kanisa Katoliki, uteuzi na usimikaji wa askofu ni mchakato wa kina unaozingatia misingi ya kiroho, nidhamu ya kanisa na utaratibu...

READ MORE

Senegal Yatishia Kususia Mashindano ya CAF Kufuatia Uamuzi wa AFCON

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametoa tamko kali kwa Shirikisho la Soka la Afrika CAF kufuatia uamuzi ulioibua mshtuko...

READ MORE

Eid Al Fitr Leo Uganda Baada ya Kuonekana kwa Mwezi

Ofisi ya Mufti nchini Uganda imetangaza rasmi kuwa Sikukuu ya Eid al-Fitr itaadhimishwa leo Machi 20, 2026, kufuatia kuandama kwa...

READ MORE

Naibu Waziri wa Maji Ashiriki Uzinduzi wa Jimbo Katoliki Bariadi

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Mathew, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mjini, ameshiriki katika...

READ MORE

Video: Mufti Atangaza Mwezi Kutoonekana, Sikukuu ya Eid El-Fitri ni Jumamosi

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir Bin Ally  leo Machi 19, 2026 ametangaza rasmi kuwa mfungo wa mwezi mtukufu...

READ MORE

Naibu Waziri Kihenzile Ashiriki Mkutano wa Uchukuzi Afrika Kusini

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) uliofanyika katika Ukumbi wa Gallagher...

READ MORE

Qatar Yatoa Onyo Kali kwa Iran Kuhusu Mashambulizi ya Kombora

Serikali ya Qatar imetoa tamko kali ikilaani mashambulizi yaliyofanywa na Iran dhidi ya vituo vya nishati nchini humo, ikiyataja matukio...

READ MORE