×

Habari

Meridianbet Yawakumbuka Tena Mama Lishe Coco Beach

Kwenye upepo mwanana wa Coco Beach, kumezaliwa tabasamu mpya kwa kina mama wanaochangamsha jiji la Dar es Salaam kwa vyakula...

READ MORE

Marekani Yatoa Onyo la Mwisho kwa Iran Kuhusu Shambulio la Qatar

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa Iran, akisisitiza kuwa taifa hilo litakumbana na hatua kali iwapo litaendelea...

READ MORE

Mbeto: Magufuli Alikuwa Shujaa na Nguzo ya Maendeleo Ya Taifa

Chama Cha Mapinduzi kimesema Hayati John Pombe Joseph Magufuli (Octoba 29, 1959 – Marchi 17,  2021) alikuwa Kiongozi shujaa na...

READ MORE

Wanafunzi Wanufaika na Mradi wa Vyoo vya Kisasa Simiyu na Mara

Simiyu & Mara, Tanzania 17Machi 2026: Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na wadau wake wakiwemo Stanbic Bank Tanzania...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Dereva Bajaj Aliyemuua Mwanaye Apate Utajiri, Ahukumiwa Kifo – Video

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu kunyongwa hadi kufa Joseph Mhulilwa, dereva bajaji na mkazi wa Mtwivila B, Manispaa ya...

READ MORE

Fahamu Nchi 20 Zenye Jeshi Lenye Nguvu Zaidi Duniani 2026

Nguvu ya kijeshi kisasa haipimwi tu kwa kuhesabu askari. Inahusisha idadi ya wanajeshi, bajeti za ulinzi, teknolojia ya kisasa, uwezo...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi wa Kibalozi na Taasisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi katika nafasi mbalimbali za kibalozi na...

READ MORE

Yas Yavunja Rekodi, Yatwaa Tuzo ya Mtandao Kasi Zaidi kwa Mara ya Tatu

  Kampuni ya kimataifa ya uchambuzi wa mitandao, Ookla, imethibitisha tena ubora wa mtandao wa Yas baada ya majaribio mengi...

READ MORE

Utata! Mume Auza Nyumba Mke Na Mtoto Wakiwa Ndani – Video

Tukio lililozua taharuki kubwa wiki iliyopita katika eneo la Mtoni Mtongani, mtaa wa Nuru, limeibua maswali mazito ya kisheria na...

READ MORE

Afisa Mkuu wa Kupambana na Ugaidi Marekani Ajiuzulu, Ampinga Trump Kuhusu Vita ya Iran – Video

Afisa wa juu wa kupambana na ugaidi nchini United States, Joe Kent, amejiuzulu wadhifa wake akipinga wazi vita dhidi ya...

READ MORE

Deni la Taifa Marekani Laendelea Kupaa, Lafikia Zaidi ya TSH Trilioni 100,000 Vita Iran Yatajwa

Deni la taifa la nchi la Marekani limefikia kiwango cha kihistoria cha dola trilioni 39 sawa na zaidi ya TSH...

READ MORE

Jennifer Lopez Awaacha Mashabiki Midomo Wazi ‘Atupia Gauni Fupi’

Jennifer Lopez ameendelea kuthibitisha kwa nini bado ni miongoni mwa mastaa wakubwa duniani baada ya kuonekana akivutia sana akiwa kwenye...

READ MORE

Iran Yathibitisha Kuuawa kwa Mkuu wa Usalama Ali Larijani

Serikali ya Iran kupitia vyombo vyake vya habari imekiri rasmi kifo cha Ali Larijani, aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Taifa...

READ MORE

Polisi Wasisitiza Ubora wa Madereva Kupitia Mafunzo ya Kisasa

  Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Arusha limetoa mafunzo maalumu ya mfumo mpya wa TEHAMA juu...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Ashiriki na Wananchi Katika Kumbukizi ya Hayati Magufuli – Video

Chato, Geita – 17 Machi 2026 – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi,...

READ MORE

Donald Trump Akosolewa na Mshauri wake Kuhusu Vita na Iran

Mmoja wa washauri wa karibu wa Rais wa Marekani, David Sacks, amemkosoa hadharani Donald Trump kuhusu vita vinavyoendelea dhidi ya...

READ MORE

Fahamu Madhara ya Vyakula Vitamu Kupita Kiasi kwa Afya ya Figo

Watu wengi huamini kuwa kula vyakula vyenye sukari nyingi kunaweza kusababisha unene, kisukari na hata matatizo ya figo. Kulingana na...

READ MORE

Trump: Ushirikiano wa Dunia Unahitajika Kulinda Njia ya Mafuta

Rais wa Marekani Donald Trump usiku wa kuamkia leo Machi 17, 2026 amesema  operesheni za kijeshi dhidi ya Iran zimefanikiwa kwa...

READ MORE

Trump Atishia Kuharibu Mafuta ya Iran Ndani ya Dakika Chache

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa vikosi vya Marekani vimeshambulia zaidi ya malengo 7,000 nchini Iran tangu kuanza kwa...

READ MORE

Mwigulu Awapongeza Watumishi wa Afya Katavi kwa Huduma Bora

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mradi wa ujenzi wa jengo la huduma (Wing B) katika Hospitali ya Rufaa ya...

READ MORE

Mbunge Shigongo Apongeza Maboresho ya Afya chini ya Rais Samia – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa ameridhishwa na juhudi za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika...

READ MORE

SBL Yaendeleza Ushirikiano na Wizara ya Viwanda na Biashara

Dar es Salaam, Tanzania, 18 Machi 2026: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imefanya mkutano wa kimkakati na Waziri wa...

READ MORE

Ford Yampa Papa Leo XIV Zawadi ya Gari Maalum la 2026 Ford Explorer

Mkurugenzi Mkuu wa Ford Motor Company, Jim Farley, amemzawadia Papa Leo XIV gari la kipekee aina ya Ford Explorer Platinum...

READ MORE

Raia 20 Wakamatwa Iran kwa Tuhuma za Ushirikiano na Maafisa wa Israel

Watu 20 waliokamatwa katika Mji wa Urmia nchini Iran wanashikiliwa kwa tuhuma za kushirikiana na Israel kwa kutoa taarifa za...

READ MORE

Airtel Divas Watoa Msaada kwa Watoto Wenye Mtindio wa Ubongo Madale

Dar es Salaam – Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania kupitia kundi lao la Airtel Divas wametembelea kituo cha kulea watoto...

READ MORE

Coca-Cola Kwanza Yakabidhi Tuk-Tuk Sita kwa Wasambazaji Bora Tanzania

Dar es Salaam, Machi 16, 2026 – Kampuni ya Coca-Cola Kwanza Ltd (CCK) imekabidhi Tuk-Tuk sita kwa wasambazaji bora wa...

READ MORE

Kim Jong Un, Binti Yake Wafyatua Risasi Kiwanda cha Silaha Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameonekana akifyatua risasi kwa bastola pamoja na binti yake, Kim Ju-ae, wakati wa...

READ MORE

Fahamu Kisiwa cha Kharg Island Kitovu Kikubwa cha Mafuta cha Iran

Kharg Island ni kisiwa muhimu sana kwa uchumi wa Iran kilichopo katika maji ya Persian Gulf, karibu na pwani ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Uchunguzi wa Mfumo Wa Upatikanaji wa Dawa Hospitalini

  WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufanyika kwa uchunguzi kuhusu mfumo wa upatikanaji wa dawa katika hospitali na vituo...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki Misa Takatifu Ya Jumapili ya Nne ya Kwaresma Songea

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na Waumini mbalimbali katika Misa...

READ MORE

Benki ya Absa Tanzania Yadumisha Ushirikiano na Wateja Wake

Benki ya Absa Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na wateja kwa kuandaa hafla ya futari iliyowakutanisha viongozi wa benki, viongozi...

READ MORE

Waziri Mkuu Asisitiza Amani, Maadili Na Ushirikiano Na Taasisi Za Dini – (Picha +Video)

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za dini nchini katika kulinda amani, kuimarisha...

READ MORE

Trump Aitaka Uingereza Kutuma Meli za Kivita Kulinda Mlango wa Bahari wa Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump ameitaka Uingereza na mataifa mengine kutuma meli za kivita katika mlango bahari wa Strait of...

READ MORE

Mwalimu wa Kiingereza wa Diamond na Harmonize, Allen Ngonyani Afariki

Mwalimu aliyewasaidia mastaa wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny, kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha, Allen...

READ MORE

Prof. Shemdoe, Balozi wa Tanzania Ufaransa, Wajadili Mikakati Kuvutia Uwekezaji Bonde la Msimbazi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa,...

READ MORE

Trump Atangaza Mpango wa Kufungua Strait of Hormuz kwa Nguvu za Kijeshi

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani inapanga kuhakikisha kuwa Strait of Hormuz inafunguliwa na kubaki salama kwa usafirishaji...

READ MORE

Meneja wa Global Azungumzia Umuhimu wa Kuishi Kwa Maadili Baada ya Kifo cha Ssebo – Video

Meneja Mkuu wa Global Group, Abdallah Mrisho leo Machi 14, 2026 amesema kuwa kifo ni fumbo na kila mwanadamu anapaswa kujiandaa...

READ MORE

Marekani kushirikiana na Tanzania kuimarisha ulinzi

Serikali ya Marekani imesaini makubaliano ya ushirikiano na Tanzania katika masuala ya kuimarisha jeshi, ulinzi wa amani na usalama wa...

READ MORE

Shigongo Aungana na Wananchi Buchosa Kumuaga Juma Maanda

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa pole kwa familia ya marehemu Juma Maanda aliyefariki dunia, alipofika kuwafariji ndugu...

READ MORE