×

Habari

Shigongo Aungana na Wananchi Buchosa Kumuaga Juma Maanda

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa pole kwa familia ya marehemu Juma Maanda aliyefariki dunia, alipofika kuwafariji ndugu...

READ MORE

#Live Kanisani: Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Ssebo Parokia ya Mtakatifu Martha Mikocheni

Misa ya kuombea mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM Tanzania na TVE Tanzania, marehemu Dennis Busulwa...

READ MORE

Heri ya Ramadhani Yaja Na Msaada wa Vyakula Kutoka Meridianbet

Katika kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa vitendo, Meridianbet imeleta tabasamu kwa wakazi wa Dar es Salaam kwa msaada wa...

READ MORE

Ndoa ya Gigy Money Yafanyika Lugalo, Mastaa Wahudhuria

Msanii mwenye hekaheka zake mjini asiyeishiwa vibwanga Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye kwa sasa amebadili dini na kutumia jina la...

READ MORE

Kili Marathon Yatangaza barabara zitakazofungwa siku ya mbio

  Wiki moja tu kabla ya kuanza kwa Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, waandaaji wa mbio hizi zenye hadhi ya...

READ MORE

Gharama za Vipimo vya DNA Zapanda, Serikali Yazungumzia Changamoto

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, amesema kuwa gharama za kufanya vipimo vya vinasaba vya binadamu (Human DNA) zimeongezeka...

READ MORE

Kihongosi Ampongeza Mbunge Shigongo Kwa Utendaji Mzuri Buchosa – Video

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa,...

READ MORE

Trump: Marekani Haijalenga Kuchukua Uranium ya Iran ‘Kwa Sasa’

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa kwa sasa Marekani haijalenga kufanya operesheni ya kuchukua uranium ya Iran, ingawa alionyesha...

READ MORE

Uganda na Tanzania Kuondoa vikwazo Vyote vya Biashara Ifikapo Juni

Uganda na Tanzania zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, hatua...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Vifo, Ajali Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Nyakoro Sirro, kufuatia vifo vilivyotokana...

READ MORE

Wairani Washiriki Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Wakati Mashambulizi

Tehran, Iran — Leo Machi 13, 2026 Wairani wamejitokeza katika miji mikubwa ya nchi hiyo kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya...

READ MORE

Video: Marekani Yaeleza Kwa Nini Haisindikizi Meli Mlango wa Hormuz

WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth ameeleza sababu ya kwa nini jeshi la Marekani bado halijaanza kusindikiza meli zinazopita...

READ MORE

Hali Ya Hofu Dubai, Watalii Waondoka Baada ya Mashambulizi

Jiji la Dubai limeanza kuonekana kama mji uliotelekezwa baada ya maelfu ya wakazi na wageni kuondoka kufuatia mashambulizi ya makombora...

READ MORE

Ajali ya Ndege Iraq Yawaua Wafanyakazi 6 wa Marekani

Jeshi la Marekani limesema kuwa wanajeshi wote sita waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya kujaza mafuta angani walifariki dunia...

READ MORE

Mojtaba Khamenei Aripotiwa Kuwa Katika Koma Baada ya Mashambulizi Tehran

Ripoti mpya imeeleza kuwa Kiongozi mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, anadaiwa kuwa katika hali ya koma hospitalini na hajui kinachoendelea...

READ MORE

Video: Boti Yapinduka na Kuua Watumishi 6, Miili 3 Haijapatikana Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amrmetoa pole kwa uongozi wa Wilaya ya Kigoma mkoani hapa kufuatia tukio...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Maji Wa Miji 28 Katavi

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28...

READ MORE

Zoezi la Pamoja Kati ya JWTZ na Jeshi la Marekani Lahitimishwa Msata

Zoezi la pamoja la medani Justified Accord 2026 lililohusisha Kikosi Maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

READ MORE

Ndege ya Kujaza Mafuta ya Marekani Yaanguka Magharibi mwa Iraq

Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa ndege yake ya kijeshi imeanguka nchini Iraq. Kwa mujibu wa taarifa ya U.S. Central Command,...

READ MORE

Haji Manara Azungumzia Mchango wa Ssebo Kwenye Tasnia ya Habari ‘Tumepoteza Mtu Muhimu’ – Video

Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amezungumzia kuhusu marehemu Denis Busulwa almaarufu Ssebo, akimwelezea kama mtu aliyekuwa na moyo...

READ MORE

Wanafunzi Hatarini Kuzama Kwenye Daraja la Mbao, Wakazi Wafunguka Mazito – Video

BABATI, MANYARA — Wakazi wa mitaa ya Mruki na Msasani katika Halmashauri ya Mji wa Babati wamesihi Serikali kuingilia kati...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Toyota Prius na Namna Inavyotumia Teknolojia ya Umeme (EV Mode) – Video

Toyota Prius imekuwa mfano wa ubunifu katika sekta ya magari duniani kutokana na mfumo wake wa Hybrid Synergy Drive, unaounganisha...

READ MORE

Swala ya Eid Kufanyika Msikiti wa Msikiti wa Mfalme Mohamed VI

Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza rasmi Sikukuu ya Eid El-Fitri mwaka huu itasherehekewa Machi 20 au 21,...

READ MORE

Meridianbet Kuinua Kiwango cha Burudani Na Naga Games

Soko la burudani ya kasino mtandaoni linaendelea kupata sura mpya baada ya Meridianbet kuileta Naga Games, mtoa huduma anayekuja na...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya Matumizi ya Ardhi Ngorongoro Chamwino – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema eneo la Ngorongoro Conservation Area ni urithi wa kipekee...

READ MORE

Kauli ya Mojtaba Khamenei Yazua Taharuki Mashariki ya Kati, Taarifa yake Yasomwa Runingani

Taarifa inayodaiwa kutolewa kwa niaba ya kiongozi mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, imesomwa kupitia televisheni ya taifa huku kukiwa na...

READ MORE

Sudan: Mashambulizi ya Ndege Zisizo na Rubani Yaendelea, Raia Wauawa

Mapigano yanayoendelea nchini Sudan tangu Aprili 2023 kati ya jeshi la serikali lenye makao Port Sudan na vikosi vya upinzani...

READ MORE

Iran Yatuhumiwa Kushambulia Meli za Mafuta Katika Ghuba ya Uajemi – Video

Iran imetuhumiwa kushambulia meli mbili kubwa za mafuta katika Ghuba ya Uajemi kwa kutumia boti zilizokuwa zimebeba vilipuzi, tukio lililosababisha...

READ MORE

Abdulrazak Salum Aeleza Jinsi Ndoa Ilivyomvuruga Maishani – Video

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Abdulrazak Salum, amefunguka na kueleza kuwa ndoa iliwahi kuchanganya maisha yake kwa kiasi kikubwa hadi...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaamuru Kufungwa kwa Sahara Media Group Limited

Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru kufungwa kwa kampuni ya Sahara Media Group Limited, iliyojishughulisha na vyombo vya habari, matangazo...

READ MORE

Stanbic Yaandaa Futari Kuimarisha Mahusiano na Wadau

Benki ya Stanbic imeandaa futari maalum iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya kushiriki baraka za mwezi...

READ MORE

Trump Afichua Taarifa za Mashambulizi ya Siri ya Iran Ndani ya Marekani

Donald Trump amesema mamlaka za usalama nchini Marekani zinachunguza taarifa za uwezekano wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (drone)...

READ MORE

Airtel Tanzania Yazindua Maduka 17 Mapya Jijini Dar es Salaam

Machi 12, 2026. Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza huduma za mawasiliano nchini, imezindua maduka mapya 17 ya Airtel Smart Shops jijini...

READ MORE

Israel Yaapa Kuendeleza Mashambulizi Hadi Malengo Dhidi ya Iran Yatimizwe

Israel Defense Forces imesema iko tayari kuendelea na vita dhidi ya Iran kwa muda mrefu kadri itakavyohitajika hadi malengo ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 12, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Afunga Mkutano Wa Uhakiki Wa Rasimu Ya Mpango Wa Mkumbi-Ii

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Machi 11, 2026 amefunga mkutano wa uhakiki wa rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha...

READ MORE

Vodacom Wakabidhi Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Mkata

Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama pamoja na Stanbic Bank wamejenga matundu 10 ya kisasa ya vyoo katika...

READ MORE

Ladha za Sasa: Ukali Wenye Tabaka na Athari za Vinywaji

Dar es saalam, Tanzania – Kampuni ya Kerry Group imezindua ripoti ya Kenya Taste Charts 2026, ikionyesha mabadiliko makubwa katika...

READ MORE

Ubalozi wa Uingereza Waipongeza Tanzania kwa Kukabiliana na Marburg

Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mkakati na juhudi kubwa zilizowekwa katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko,...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation Yazindua Kambi ya Afya Bure Morogoro

Magonjwa yasiyoambukiza kama shinikizo la damu, kisukari na magonjwa ya moyo yanaongezeka nchini Tanzania, yakichangia takribani asilimia 34 ya vifo...

READ MORE