×

Habari

Historia ya Maisha ya Kardinali Pengo: Utoto, Mafunzo na Uongozi wa Kiroho – Video

Dar es Salaam, Tanzania – Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo, amefariki dunia...

READ MORE

Mazishi ya Abdilah Mussa ‘Banjoo’ Yafanyika Sanawali, Arusha – Video

Arusha, Tanzania – Mwili wa mfanyabiashara wa madini, Abdilah Mussa, maarufu Banjoo, umezikwa nyumbani kwake, Sanawali, mkoani Arusha. Waombolezaji wakiwemo...

READ MORE

Jeshi la Polisi Laanza Uchunguzi Baada ya Kifo cha Banjo – Video

Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limesema linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Abdilah Musa maarufu kwa...

READ MORE

Kihenzile Akagua Ujenzi wa MV Liemba na Uwanja wa Ndege Kigoma

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maendeleo ya mradi wa ukarabati wa Meli ya MV Liemba mkoani Kigoma yanaridhisha...

READ MORE

Shabbiy Yafanya Maboresho ya Vyoo na Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria Dodoma

Kampuni ya mabasi ya Shabbiy, imekamilisha maboresho makubwa ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Mradi wa Barabara ya Spencon–Mabogini–Kahe–Chekereni

▪️Aagiza ijengwe na TANROADS ili iwe bypass ya kupunguza msongamano mjini. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 20, 2026...

READ MORE

Polisi Wathibitisha Kuachiliwa kwa Andrew Huku Faili za Epstein Zikitajwa

Andrew Mountbatten-Windsor ameachiwa huru huku uchunguzi ukiendelea kufuatia kukamatwa kwake kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma....

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Kardinali Pengo

  Rais Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar...

READ MORE

Jamaa Ambananisha Chalamila Sakata La Mgogoro Mabibo – Video

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

READ MORE

Meridianbet Yachochea Mapinduzi ya Usafi Kinondoni kwa Msaada wa Mapipa ya Taka

Katika hatua ya kuunga mkono juhudi za kulinda mazingira na afya za wananchi, Meridianbet imetoa mapipa ya taka katika maeneo...

READ MORE

Kihongosi: TIA Kigoma Itakuwa Mkombozi wa Mkoa

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi alisema ujenzi wa kampasi ya...

READ MORE

Kardinali Polycarp Pengo Afariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dar

Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo, amefariki dunia jana Februari 19, 2026 majira...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Futari Na Makundi Mbalimbali, Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki futari na makundi mbalimbali ya wananchi katika...

READ MORE

Dalili za Upungufu wa Testosterone na Suluhisho Asilia Kwa Mwanamke

Testosterone ni homoni muhimu kwa mwanaume, lakini pia ipo kwa kiwango kidogo kwa mwanamke. Homoni hii ina mchango mkubwa katika...

READ MORE

Ndani ya Mfungo Oryx Gas Yaja na Pishi la Kibabe

ni Katika kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni ya msimu wa mwezi...

READ MORE

Prince Andrew Akamatwa Uingereza Kufuatia Uchunguzi wa Kesi ya Epstein

Mwana wa familia ya kifalme ya Uingereza, Prince Andrew, amekamatwa na polisi nchini Uingereza kufuatia uchunguzi unaohusishwa na nyaraka zinazojulikana...

READ MORE

Mfanyabiashara Aliyepotea Arusha Apatikana Akiwa Amefariki Kondoa – Video

Saa chache baada ya kuripotiwa kupotea kwa mfanyabiashara wa madini, Abdillah Mussa maarufu kama Banjo, mkazi wa Sanawari jijini Arusha,...

READ MORE

Wasira Amtembelea Mama Maria Nyerere Msasani

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Stephen Wasira, Februari 18, 2026 amemtembelea na kumjulia hali Maria Nyerere nyumbani kwake...

READ MORE

Bwege Ajiuzulu ACT Wazalendo Aujiunga na CHADEMA

Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Said Ally Bungara, maarufu kama ‘Bwege’ ametangaza rasmi kujivua uanachama wa...

READ MORE

Yanga vs Simba: TFF Yataka Kampuni Moja Pekee ya Kubashiri

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa linatafuta kampuni moja kwa ajili ya haki za kipekee za ubashiri...

READ MORE

Arsenal Wapoteza Pointi Muhimu, Mbio za Ubingwa Zazidi Kunoga!

Arsenal wameendelea kupoteza mwelekeo katika mbio za ubingwa baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye...

READ MORE

Wananchi 1,690 Walipwa Milioni 410 Kwa Madhara ya Wanyamapori Same na Mwanga

Wananchi 1,690 wamelipwa kifuta jasho na kifuta machozi chenye Juma ya shilingi 410,905,000 kutokana na madhara yaliyosababishwa na Wanayamapori wakali...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yakabidhi Misaada ya Mil. 21.6/- Shule za Msingi, Sekondari Malinyi

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Sebastian Waryuba akionyesha ishara ya shukrani baada ya benki ya NMB kukabidhi vifaa vya shule...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Na Uwezo Tanzania Wazindua Maktaba Kuboresha Elimu

Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano, Benki ya Stanbic Tanzania, Dickson Senzi (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Uwezo Tanzania, Baraka...

READ MORE

Ramadhan 2026 Yaanza Rasmi Tanzania Baada ya Kuandama kwa Mwezi – Video

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amethibitisha taarifa ya kuandama kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Amewaambia waandishi wa habari mkoani...

READ MORE

Mvutano Mkubwa CUF: Wajumbe Saba Waliyefutwa Wadai Bado Ni Viongozi Halali

Mvutano unaoendelea ndani ya Chama Cha Wananchi (CUF) sasa umeingia hatua mpya baada ya wajumbe saba wa zamani wa Baraza...

READ MORE

Salum Mwalim wa CHAUMMA Afunga Ndoa na Moza Ally

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, amefunga ndoa na kada wa chama hicho, Moza Ally,...

READ MORE

TRA Yafungua Kituo Kipya cha Huduma Masaki Kusogeza Kodi Karibu na Wananchi – Video

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefungua kituo kipya cha huduma katika eneo la Masaki, jijini Dar es Salaam, kilicho chini...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aonya Watendaji Wanaokwamisha Miradi ya Maendeleo

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema haikubaliki kwa watendaji wa Serikali kupokea fedha za utekelezaji wa miradi kisha kushindwa kuzitumia...

READ MORE

Iran Yatishia Kuzamisha Meli Za Kivita Za Marekani

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema Rais wa Marekani Donald Trump hatofanikiwa kuangamiza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran,...

READ MORE

Epstein Aliuawa Gerezani, Ushahidi Wazua Mshituko Duniani – Video

Wiki hii, nyaraka mpya zimeibuka nchini Marekani. Nyaraka ambazo zimezua mjadala mkubwa duniani. Baadhi ya wachunguzi sasa wanaamini kuna ushahidi...

READ MORE

Baraza La Wafanyakazi TBS Ni Chachu Ya Ufanisi   Katika UtekelezajiI Wa Majukumu 

Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Dennis Londo amelitaka Baraza la Wafanyakazi la Shirika la Viwango Tanzania (TBS)...

READ MORE

Alichokifanya Trump Huko Venezuela Siyo Kipya; Hizo ndo Tabia za Wababe Wa Dunia Hii!

1. Kwa watu wanaojua historia ya Dunia hii kama akina Hayati Kazilahabi mpaka kuandika vitabu vya “Dunia Uwanja wa Fujo”...

READ MORE

Video: Majambazi 9 Wakiri Kumuua Bodaboda Tabora, RC Chacha Aeleza

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameeleza kuwa jumla ya watu tisa wanaodaiwa kuwa majambazi wamekamatwa kufuatia oparesheni maalum...

READ MORE

”Serikali Hailazimishi Transformation Simba, Tutaangalia Katiba” – Msajili

Msajili wa Vyama vya Michezo na Vilabu nchini, Abel Ngilangwa, amesema Serikali haitaingilia maamuzi ya ndani ya Simba SC kuhusu...

READ MORE

MyLEGACY Yaishirikisha Sekta ya Habari Kuimarisha Uelewa wa Mabadiliko ya Tabianchi

Dar es Salaam, Tanzania – 20/02/2026 Asasi isiyo ya kiserikali ya MyLEGACY  imekutana na  waandishi wa Habari na wadau  wa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ahimiza Wakuu wa Wilaya wakasikilize wananchi na kutatua kero zao

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM – TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe arudi Halmashauri ya Muheza na...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Mercedes G-Wagon na Aina na Bei Zake

Mercedes-Benz G-Class, inayojulikana zaidi kama G-Wagon, ni moja ya SUV za kifahari zinazoibuka duniani. Gari hili ni mchanganyiko wa nguvu,...

READ MORE

Tambua Setingi Muhimu Kwenye Simu Yako ya Android Ili Kujilinda

Katika ulimwengu wa sasa ambao teknolojia imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku, simu za Android zimebeba taarifa nyingi muhimu...

READ MORE