×

Habari

Prof. Mkenda Aomba Trilioni 1.49 Bajeti 2022/23 Wizara ya Elimu,Awasilisha Bungeni

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2022-2023 huku ikiweka vipaumbele katika kuboresha...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Akiwa Uganda, Ziara Yake Ya Siku Mbili Inaendelea… (Picha +Video)

 Rais Samia Suluhu Hassan anafanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Jumanne Mei 10 -11,...

READ MORE

Mbwa Atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Rais kwa Kugundua Mabomu Ukraine

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky amemtunukia tuzo ya heshima ya Rais mbwa aliyepewa jina Pattern kwa huduma zake tangu uvamivi...

READ MORE

Mtoto wa Rais Museven Afikishwa Mahakamani kwa Kuutaka Urais wa Uganda

Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Tsh bilioni 100 Kupunguza Bei ya Mafuta – Waziri wa Nishati Makamba

WAZIRI wa Nishati, January Makamba leo Jumanne Mei 10, 2922 amesema Serikali imetoa ruzuku ya Tsh bilioni 100 kwa ajili...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Nchini Uganda Kufanya Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 10, 2022 ameeleka nchini Uganda  kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili.   

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili Nchini Uganda Kuanzia Leo

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Mei 10, 2022 hadi...

READ MORE

Meridianbet Nyumba Ya Mabingwa Yatoa Mkono Wa Pongezi Kwa Kina Mama

Mei 8 kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya kusherehekea maisha ya kinamama kote duniani. Hawa ni watu muhimu kwenye...

READ MORE

Allure Of The Sea: Jiji La Starehe Linalotembea Baharini Kuna Baa 40, Hoteli Kubwa 25 – Video

Bila shaka sote tunazijua meli, iwe ni kwa kuiona live au kwenye picha, au kwa kupanda kabisa! Meli ni chombo...

READ MORE

Mwimbaji Nyimbo za Injili Peter Lubango Azindua Kwa Kishindo ‘EP’ Yake

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Peter Lubango  amezinduzindua albam ya gospol ‘EP’ usiku wa April 08, 2022 katika Ukumbi wa...

READ MORE

Tigo na Infinix Waja na Infinix Hot 12 na Infinix Hot 12 Play kwa Mara ya Kwanza

    Dar es Salaam, Mei 10, 2022, Kampuni inayoongoza nchini Tanzania kwa utoaji wa huduma za kidijitali,  imeshirikiana na...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Taifa, Atangaza Kupungua kwa Bei ya Mafuta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na  wananchi juu ya ongezeko la gharama ya bei...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aishauri Serikali Iwekeze Kwenye Kilimo

MBUNGE wa Jimbo la Buchosha Eric Shigongo akitoa hoja Bungeni ameshauri kuwa kama Nchi inataka kurudi kwenye uchumi wa kati...

READ MORE

Meli Kubwa ya Magari 4397 Yawasili Bandari ya DSM, Yavunja Rekodi

MELI kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam. Meli hiyo ya MERIDIAN ACEyenye idadi...

READ MORE

Ndugai Aweka Wazi Adhima Yake ya Kung’atuka, Aomba Asieleweke Tofauti

MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.   Ndugai amesisitiza kuwa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Kuhusu Kupanda kwa Bei ya Mafuta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa jana tarehe 08...

READ MORE

CRB Kuwakutanisha Wadau wa Sekta ya Ujenzi Dodoma Wiki hii

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Consolata Ngimbwa akizungumza kwenye mkutano wa makandarasi uliofanyika hivi karibuni mkoani Dodoma...

READ MORE

Henn-Na Hotel; Hoteli Ya Kijapani Inayohudumiwa na Maroboti

HEBU VUTA PICHA, unaenda hotelini na badala ya kupokewa na wahudumu, mapokezi unakutana na roboti lililotengenezwa kwa mfano wa mwanamke...

READ MORE

Jundokan Tanzania Karate-Do Yafunguliwa Mipaka Japan, Yapewa Mwaliko Sweden

KWA MUJIBU wa habari toka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Karate cha Jundokan So Honbu chenye makao yake makuu mjini...

READ MORE

Rais Samia Aitisha Kikao cha Dharura Ikulu Kujadili Tatizo la Kupanda kwa Bei ya Mafuta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mei 8, 2022 ameitisha Kikao cha dharura usiku wa Ikulu...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour – JNICC, Dar (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour katika...

READ MORE

Necta Yatoa Angalizo Mtihani wa Kidato cha Sita kwa Wamiliki wa Shule Nchini – Video

  JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani yao ya...

READ MORE

Wema Sepetu: Naumia Sana Nikiona Watoto wa Uwoya, Wolper, Natamani Mtoto

Wema Isaac Sepetu; ni staa ambaye kila kukicha manyota yanazidi kung’aa, lakini bado akiwa na machungu tele moyoni baada ya...

READ MORE

Jeshi la Polisi Limefanikiwa Kuwakamata Vijana 31 wa Panya Road

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata vijana 31 wengi wao wakiwa ni wakazi wa Dar es...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aridhishwa na Ujenzi wa Daraja la JPM, Mwanza

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa daraja la JPM linalounganisha Wilaya ya Sengerema na Misungwi mkoani Mwanza ambapo...

READ MORE

Makamu wa Rais Dk, Mpango Ahudhuria Mazishi ya Askofu Katale

  MAKAMU WA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Mei 2022 amemuwakilisha Rais...

READ MORE

Bandari ya DSM Kuweka Rekodi Nyingine Jumatatu Hii

MELI kubwa ya shehena ya magari inatarajia kuwasili kwenye bandari ya Dar es Salaam. Meli hiyo kutoka Japan na Singapore itawasili...

READ MORE

Jennifer Mgendi: Maumivu Ya Kufiwa na Mume Hayabebeki

JENNIFER MGENDI; ni Staa mkubwa wa Muziki wa Gospel nchini Tanzania na mwigizaji mkali wa Bongo Movies ambaye amekumbusha mashabiki...

READ MORE

Makamu wa Rais Awasili Kigoma Kuhudhuria Msiba ya Askofu Katale

MAKAMU WA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Philip Mpango amewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kuhudhuria msiba...

READ MORE

Convoy Protection Jammer, Gari Lenye Uwezo wa Kukata Mawasiliano Kwenye Msafara wa Rais

KAMA wewe ni mfuatiliaji wa mambo, utakuwa umewahi kuyaona magari fulani hivi meusi, yenye machumachuma na vitu kama antenna kwa...

READ MORE

Majaliwa Aagiza Uhamiaji Kuzuia Paspoti za Wafanyakazi Kampuni ya Gas Entec

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kuzishikilia paspoti za wafanyakazi wa Kampuni ya Gas Entec...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO) – 14

  MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: “Unamuona legelege huyu! Ohoo, muangalie hivyohivyo,” alisema Bonta ambaye alikuwa akizunguka huku na...

READ MORE

Zitto Autaka Urais, Agusia Uwezekano wa Vyama vya Upinzani Kuungana

KIONGOZI wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe ameweka bayana kuwa anatamani kuwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Benki ya Equity Yawakumbuka Yatima kwa Chakula na Mahitaji Muhimu Jijini Dar

    BENKI ya Equity Tanzania Katika muendelezo wa kuhakikisha wapo karibu na jamii mapema leo walipata  fursa ya kutembelea...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aagiza Fedha za Miradi ya Afya Zitumike kwa Umakini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza rasilimali zote zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya zitumike kwa uangalifu na...

READ MORE

Rais Samia Amteua Hassan Omani Kitenge Kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira

Rais wa Tanzania Samia amemteua Hassan Omani Kitenge kuwa katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma Kabla ya...

READ MORE

Breaking: Mahakama Kuu Arusha Yamuachia huru Sabaya na Wenzake Wawili

  MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Arusha leo Mei 6, 2022 imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Kafulila Afyeka Viongozi 335 Amcos, Maofisa Ushirika Wang’olewa

MKUU wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila amevunja bodi zote za viongozi wa Vyama vya msingi vya Ushirika 335 vilivyopo...

READ MORE

Simba Waanza Mipango ya Kumrejesha Shiza Kichuya Kikosini, Bosi Afunguka

SIMBA SC ipo katika mipango ya kumrejesha kikosini kwao kiungo mshambuliaji, Shiza Kichuya ambaye hivi sasa anakipiga Namungo FC.  ...

READ MORE

Rais Joe Biden Amteua Karine Jean-Pierre kuwa Msemaji wa Ikulu ya White House

Rais wa Marekani Joe Biden amemteua Karine Jean-Pierre kuwa Msemaji wa Ikulu ya White House na kumfanya kuwa mtu wa...

READ MORE