×

Habari

Unyama! Mtoto Auawa na Kuwekwa Ndani ya Sandarusi

PENDO Athumani (3), mkazi wa kata ya Nyihogo Manispaa ya Kahama, amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kufungwa...

READ MORE

Simba Yaanika Siri za Kuwaua Asec Mimosas

UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna hofu kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory...

READ MORE

Bibi wa Miaka 100 Atapeliwa Ardhi, DC Awasha Moto

Bibi wa miaka 100, Jane Kibondo mkazi wa kijiji cha Kwambe kata ya Dumila amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Kilosa...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Wafukuliwa Morogoro

Mwili wa aliyekuwa mkazi wa Kihonda Mizani, Mark Mkude (67) umelazimika kuzikwa katika kaburi mbili tofauti kutokana na awali kuzikwa...

READ MORE

DPP: Ushahidi Ulikuwa Dhaifu Mauaji ya Askari

Sakata la mauaji ya askari polisi Linus Nzema limechukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kueleza kuwa alipelekwa...

READ MORE

Usajili wa Mbio za Km 5 Kili Marathon Bado Unaendelea

WAANDAAJI wa mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2020 wamesema kuwa licha ya usajili wa mbio za Km 42...

READ MORE

Mzee Kikwete Kuzindua Kitabu cha Maisha Yake

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kuzindua kitabu cha maisha yake alichokiita kwa...

READ MORE

Mjamzito Agongelewa Msumari Kichwani Ajifungue Mtoto wa Kiume

Jeshi la Polisi nchini Pakistan linamtafuta Mganga wa Kienyeji anayedaiwa kugongelea Msumari wa wa sentimita tano kwenye kichwa cha Mwanamke...

READ MORE

Serikali Kugharamia Matibabu ya Professor Jay

Rais Samia amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Professor Jay) anayetibiwa Muhimbili Hospitali...

READ MORE

Zungu Achaguliwa Kuwa Naibu Spika

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamempitisha Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu kuwa Naibu Spika wa...

READ MORE

Zungu: Staili Yangu ni ‘Jaza Ujazwe’

Mgombea wa kiti cha Naibu Spika wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Ilala kupitia tiketi ya CCM, Mussa Azzan...

READ MORE

Mama Aibiwa Mtoto Baada ya Kununuliwa Bia Arusha

Mama mmoja mkazi wa kata ya Daraja Mbili mkoa wa Arusha anayefahamika kwa jina la Fatma, anadai kuwa ameibiwa mtoto...

READ MORE

Mwalimu wa Mafundisho Kanisani Akamatwa kwa Kulawiti Watoto Wanne

Jeshi la Polisi limemkamata Mwalimu wa Mafundisho ya Dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti...

READ MORE

Kilichomuua Mwele Malecela Chatajwa

BAADA ya kusambaa kwa taarifa za kusikitisha kuhusu aliyekuwa Mkurugenzi wa Udhibiti w a Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele, Dk. Mwele Ntuli...

READ MORE

Polisi Yateketeza Bia

Polisi wenye msimamo mkali wa dini katika eneo la Kano nchini Nigeria wameteketeza chupa milioni nne za bia katika msako...

READ MORE

Walioiba Bilioni 2 Wanaswa Iringa

Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya Watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh 2,129,856,000...

READ MORE

Live: DPP Afunguka Sakata Mauaji Askari, Serikali Yafungulia Magazeti 4 | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Coca-Cola Kwanza Commits to Empowering 1000 Women In 2022

    11th February 2022, Dar es Salaam – Coca-Cola Kwanza Ltd, a Subsidiary of Coca-Cola Beverages Africa, has committed...

READ MORE

SBL Kutoa Fursa Zaidi kwa Vijana wa Kike Waliosomea Fani za Sayansi

    DAR ES SALAAM. Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Vijana wa Kike...

READ MORE

Nanai Ajiuzulu TPSF

Francis Nanai ameachia nafasi yake ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) akiwa ametumikia nafasi hiyo kwa karibu...

READ MORE

Viongozi Wamlilia Dk. Mwele Malecela

KUFUATIA kifo cha Dkt. Mwele Ntuli Malecela ambaye amefariki dunia, leo Alhamisi, Februari 10, 2022, Geneva mchini Uswisi, viongozi mbalimbali...

READ MORE

TANZIA: Mwele Malecela Afariki Dunia

TAARIFA za kusikitisha zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Dkt. Mwele Ntuli Malecela amefariki dunia, leo Alhamisi, Februari 10, 2022, Geneva...

READ MORE

Chongolo, Shaka Wamjulia Hali Prof. jay

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Unahitajika Umakini Kuigawa TANESCO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kwamba unahitajika umakini mkubwa kama itaonekana ipo haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)....

READ MORE

Zungu Mgombea Pekee Unaibu Spika, Uchaguzi Kesho

Kwa taarifa zilizotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chama kimoja tu (CCM) ndicho kilichowasilisha jina la...

READ MORE

Kocha Afariki Baada ya Mchezaji Wake Kukosa Penati

KOCHA wa Timu ya Kingurunyembe yenye maskani yake mjini Morogoro Emanuel Peter Dihoko amefariki kwa mshtuko baada mchezaji wake kukosa...

READ MORE

TFF Yawarudisha Waamuzi Wote Darasani

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana Jumatano liliweka wazi kuwa limeandaa semina ya siku tatu kwawaamuzi wote wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kubenea: Bila Rais Samia Magazeti Yangu Yasingerudi

MKUREUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea, amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kufungua ukurasa mpya na vyombo...

READ MORE

Serikali Yafungulia Magazeti ya Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima

SERIKALI imeyafungulia rasmi magazeti manne ambayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima yaliyokuwa yamefungiwa kwa muda mrefu.   Uamuzi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Paris Nchini Ufaransa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano...

READ MORE

Airtel Money Yaja na TESA KIMILIONEA Wateja Kujishindia Mamilioni na Magari

    DAR ES SALAAM, Alhamisi 10 Februari 2022: Airtel Tanzania, ambayo ni kampuni tanzu ya Airtel Afrika na kampuni inayoongoza...

READ MORE

Video: Mdee Aibukia Kwa Mbowe , ACT Wafunguka Sababu Za Viongozi Kujiuzulu | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Rais Samia Aondoka Kuelekea Nchini Ufaransa Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 9, 2022 ameondoka kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye...

READ MORE

Ditopile: Rais Samia Anazidi Kuwafunga Midomo Waliombeza

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amesema Rais Samia ndani ya muda mfupi madarakani anazidi kuwaumbua...

READ MORE

Mtoto Ryan Aliyeanguka Kisimani Azikwa

NCHI Morocco imemfanyia mazishi ya Kitaifa mtoto wa kiume, Rayan Oram mwenye umri wa miaka mitano aliyefariki baada ya kunasa...

READ MORE

Uchunguzi Wabaini Waziri Mkuu Alihusika Mauaji ya Rais

Wachunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise wamesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo ambaye kwa sasa ndiye...

READ MORE

Rais Samia Afunguka Anavyoisikia Sauti ya Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya mzunguko...

READ MORE

Vodacom na African Child Projects Wazindua Mradi wa Kuunganisha Shule Kidijitali

    TAASISI isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya African Child Projects (ACP) wamezindua...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Angeline Mabula Kuwa Waziri wa Ardhi Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha, Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo...

READ MORE