×

Habari

Waasi ADF Wanaodaiwa Kuwa ni Watanzania Wakamatwa DRC

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vimetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa kundi...

READ MORE

Wasira: Sitaki Tena Urais

MBUNGE wa zamani na Waziri Mstaafu wa Wizara mbalimbali nchini, Mzee Steven Wasira amesema kuwa kwa sasa hana mpango tena...

READ MORE

Rais Samia: Nassari Alikuwa Akituchachafya Bungeni

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu,  Februari 7, 2022 akiwa kwenye ziara Mkoani Mara amesema anashukuru kwamba taarifa...

READ MORE

Madarasa Yageuzwa Kituo cha Kuvuta Bangi

​​​​​​​WANAFUNZI wanaosoma katika shule mbili za msingi za Kijichi wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam, wako hatarini kuathirika kiafya na...

READ MORE

Vodacom “Shangwe Lipo Palepale” Yatoa Zawadi za Ada kwa Washindi 10 Mbagala, Dar

      AKIZUNGUMZA kwa niaba ya wenzake mmoja kati ya washindi aliyejishindia ADA ya shule kwa watoto wake, Jackline...

READ MORE

Moto Waua Watoto Wawili Ndani ya Nyumba

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ya kutosha chumbani katika nyumba waliyokuwa wakiishi katika Kijiji...

READ MORE

Live: Rais Samia Anaweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Chujio La Maji Mradi Wa Maji Bunda…

Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 7, 2022 anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mara ambapo leo anaweka jiwe...

READ MORE

Mkurugenzi wa Vodacom Atembelea Kituo cha Huduma kwa Wateja Kujionea

               

READ MORE

Live: Samia Awa Mbogo, Agizo Lake Lazua Kilio Upya, Zitto Afunguka Kesi Ya Mbowe | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Serikali Yahimiza Wananchi Kulipia Kwa Wakati Viwanja Vilivyopimwa

Serikali imetoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kulipia kwa wakati gharama za maandalizi ya Hati za...

READ MORE

NMB Yazindua Uuzaji wa Hati Fungani Maalum

  Benki ya NMB imetangaza kuanza kuuzwa rasmi kwa hati fungani ya miaka mitatu inayomlenga mwekezaji yeyote aliye tayari kuwekeza...

READ MORE

Video: Mbunge Nyongo Achukua Fomu Unaibu Spika

 Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

TMA Yatoa Angalizo Mvua Kubwa na Upepo Mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa wananchi juu ya hali ya hewa katika siku kadhaa zijazo....

READ MORE

Video: Zitto Kabwe Atangaza Wasemaji Wa Kisekta Wa Kila Wizara…

 Leo Jumapili Februari 6, 2022, Chama cha ACT Wazalendo wanatangaza wasemaji wa Kisekta wa kila Wizara ya Serikali katika...

READ MORE

Malagashimba Mwenyekiti Anayekosa Usingizi Kwaajili ya Mtaa Wake

    WANADAMU tumezoea ile tabia ya kumwaga sifa kemkem kwa mtu aliyetangulia mbele za haki lakini nami leo naomba...

READ MORE

Maafisa Ugani Wapigwa Msasa, Kupeleka Elimu Vijijini

Kampuni ya Bens Agrostar CO Company Ltd imewapa elimu mbalimbali maafisa ugani  wa kampuni hiyo namna bora watakavyomsaidia mkulima katika...

READ MORE

DC Nyangasa Aitaka TCB Kuongeza Wigo Wa Huduma Zake

MKUU wa Wilaya ya Kigamboni, Fatuma Almasi Nyangassa, ameiomba benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) kupanua wigo wa huduma zake...

READ MORE

BETWAY Yazindua Programu Ya Maboresho ya Viwanja Vya Michezo

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya kimataifa, Betway Tanzania imezindua rasmi programu yake ya maboresho ya viwanja vya michezo. Programu...

READ MORE

Mwalimu Auawa kwa Kupigwa na Kitu Kizito

MWALIMU wa Shule ya Msingi Kisokwe, Wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma Albert Kaguli (43) amekutwa ameuawa na watu wasio julikana kwa...

READ MORE

Ratiba ya Kukatika Umeme Februari 6, Hii Hapa

Shirikal la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Rukwa, limetoa taarifa ya kukatika umeme kesho Februari 6, 2022 kuanzia saa 1:00...

READ MORE

Baba Amuua Mwanaye na Kumtupa Kwenye Korongo

JESHI la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Ambwene Sanga (34), ambaye ni baba wa kambo wa mtoto Mesia Kaduma (5)...

READ MORE

Breaking: Zungu, Kigwangalla, Mwinyi Wajitosa Unaibu Spika

Wabunge wanne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wamechukua fomu za kuwania kugombea unaibu Spika, leo Febriari 5 jijini Dodoma....

READ MORE

Kazi Ngumu ya Kumuokoa Mtoto Aliyenasa Kisimani kwa Siku 5 Yakaribia Kukamilika

Macho na masikio ya watu wengi duniani kwa sasa, yapo nchini Morocco ambapo oparesheni kubwa ya kumuokoa mtoto Rayan mwenye...

READ MORE

Mganga wa Jadi Adaiwa Kuua Wateja Wake Wawili na Kuwatupa Msituni

WATU wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo...

READ MORE

Kimbunga Batsirai Chatabiriwa Kutua Tanzania

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Batsirai katika maeneo ya Kusini Magharibi mwa...

READ MORE

Morrison Atajwa Kuibukia Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa raia wa Ghana, anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba, Bernard Morrison amemamisha kwa muda hadi suala...

READ MORE

Mke Ajinyonga Kwenye Gesti ya Mumewe

KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani...

READ MORE

Mtoa Roho Maarufu Njombe Akamatwa

Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Israel Msigwa maarufu kwa jina la Mtoa Roho (39) Mkazo wa Makambako kwa tuhuma za kumsababishia...

READ MORE

Sakata la Askari Kujinyonga, Mauaji Kilindi, Majaliwa Aagiza Kusimamishwa Kazi RPC, RCO

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro awasimamishe kazi maafisa wa Polisi wa...

READ MORE

Rais Samia Amuagiza Majaliwa Kuunda Kamati Mauaji Mtwara

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati huru kuchunguza tuhuma za mauaji mkoani Mtwara yanayodaiwa kufanywa...

READ MORE

Video: Mimba Ya Zuchu Gumzo, Wema Apewe Pesa Sio Gari | HOTPOT

Karibu utazame kipindi bora cha udaku nchini, Hot Pot. Kuna uchambuzi makini kuhusu masuala ya umbea 

READ MORE

Kocha Misri Aomba Fainali Kusogezwa Mbele

KOCHA msaidizi wa Misri Diaa al-Sayed anataka fainali yao ya Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Senegal ichezwe Jumatatu...

READ MORE

SportPesa Ukibet Multibet Unapata Bonus

 Ukibet Multibet unapata bonus kadri unavyozidi kuongeza mechi. Dar-Es-Salaam, January 31 ,2022- Kampuni yamichezo na burudani Sportpesa inayo furaha kutambulisha...

READ MORE

#BREAKING Rais Samia Atumbua Wakurugenzi Wanne – Video

  RAIS Samia leo Ijumaa Februari 4, 2022 akiwa njiani Magu jijini Mwanza akielekea Musoma mkoani Mara ametengua uteuzi wa...

READ MORE

Pink Hijab Yaandaa Maonesho Makubwa ya Ujasiriamali wa Wanawake

  Taasisi isiyo ya kiserikali ya Pink Hijab ambayo inajihusisha na kuwahamasisha kimaendeleo wanawake na vijana katika masuala ya kijamii,...

READ MORE

Makamu wa Rais Aondoka Nchini Kuelekea Ethiopia Kumuwakilisha Rais Samia

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Februari 4, 2022 amendoka Nchini kuelekea...

READ MORE

Rais Samia Atua Jijini Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza na kupokelewa na...

READ MORE

Vijana Waongoza Kwa Maambukizi Ya UKIMWI Nchini

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) mapema Feburuari ilifanya semina na waandishi mbalimbali wa habari wa hapa nchini, katika ukumbi...

READ MORE

Kikwete: Rais Samia Alipokea Wadhifa Huo Kipindi Kigumu

Rais mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mzuri wa Serikali na CCM,...

READ MORE

Waya wa Umeme Waua Watu 26 Sokoni

TAKRIBAN watu 26 wamefariki baada ya waya wa Umeme kukatika na na kuanguka sokoni katika wilaya ya Matadi – Kibala...

READ MORE