×

Habari

Inasikitisha! Mama Mlemavu Asimulia Kwa Uchungu Alivyotaka Kubakwa…| MAPITO

GLOBAL TV imefunga safari mpaka Kibaha Mkoani Pwani, ili kuzungumza na kujionea hali halisi. 

READ MORE

Kipindupindu Chapindukia Nkasi, 37 Walazwa

UGONJWA wa mlipuko wa Kipindupindu umeibuka wilayani Nkasi mkoani Rukwa ambapo wagonjwa 37 wameripotiwa katika kijiji cha Forodhani, Kata ya...

READ MORE

Kauli ya Polisi Nyumba ya Polepole Kuvunjwa na Kuvamiwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma, limesema lianendelea na uchunguzi pamoja na msako kuwabaini waliovamia nyumba ya Mbunge wa kuteuliwa,...

READ MORE

Ajali Zaambatana Mwisho wa Mwaka

MVUA zinazoendelea kunyesha sehemu kubwa nchini zitaendelea kuwa chanzo cha ajali nyingi iwapo madreva hawatakuwa waangalifu na kuzingatia alama za...

READ MORE

 Rufaa ya Sabaya Kusikilizwa Mwakani

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imepanga kuanza kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai...

READ MORE

Gari la Magazeti Laua Watu 9 Iringa

WATU 9 wamefariki dunia ikiwemo wanawake 4 na wanaume 5 na wengine 3 kujeruhiwa baada ya Gari ya magazeti aina...

READ MORE

Rais Samia Amlipua Diwani Mkorofi Kigamboni – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemlipua diwani wa Kigamboni ambaye amedai kuwa amekuwa kikwazo kikubwa...

READ MORE

Rais Samia: Moto wa Magufuli Sitauzima – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema moto wa kusimamia rasilimali za taifa yakiwemo madini uliowashwa na mtangulizi wake, Hayati Dkt. John...

READ MORE

Rais Ramaphosa Anatibiwa Corona

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali. Ramaphosa alianza kujisikia...

READ MORE

Rick Ross Kwenye Mahusiano Mapya

Rapa na muanzilishi wa Lebo ya Maybach Music Group, Rick Ross anausishwa kutoka kimapenzi na comedian na rapa mwenzake, Vena...

READ MORE

Sabaya Aibuka na Mambo 14 Kupinga Kufungwa Miaka 30

MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Hospitali ya Benjamin Mkapa Kupandikiza Mimba

ZIKIWA zimebaki siku chache kufunga mwaka wa 2021, ndoto ya Tanzania kuanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kwa wanawake wenye...

READ MORE

Mchungaji na Mkewe Mbaroni kwa Kushirkiana Kumbaka Binti wa Miaka 16

JESHI la Polisi Jimbo la Ogun linasema kuwa limemkamata mchungaji mmoja kwa tuhuma za kula njama na mkewe kumbaka msichana...

READ MORE

Rais Samia Ashuhudia Utiaji Saini wa Makubaliano ya Serikali na Kampuni za Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia anashiriki hafla ya Uwekaji Saini ya Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni...

READ MORE

🔴#LIVE: Kisa Barbara TFF Yaishukia Simba, Yanga Watamba Kutwaa Ubingwa | KROSI DONGO

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Taylor Swift Adaiwa Kuiba Mashairi

Staa wa muziki kutoka nchini Marekani na mshindi wa Tuzo za Grammy, Taylor Swift anakabiliwa na kesi ya madai kwa...

READ MORE

Vodacom, YST Wasaidia Vumbuzi Mbalimbali Kidigitali kwa Vijana wa Kitanzania

  Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Young Scientists Tanzania (YST Awards ceremony...

READ MORE

CHADEMA Yataja Vikwazo 3 Kukutana Na Rais, Bulembo Ataka ‘Kichwa’ Cha Polepole | FRONT PAGE

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Wafahamu Waasisi 17 wa Uhuru wa Tanganyika

Tanzania Bara jana imeadhimisha kutimiza miaka 60 tangu bendera ya mkoloni Mwingereza iliposhushwa na ile ya Tanganyika kupandishwa na hivyo...

READ MORE

Aliyemuua Bibi Kizee Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

Mkazi wa Kijiji cha Genkuru, tarafa ya Ingwe, Tarime mkoani Mara, Buriani Chacha, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana...

READ MORE

‘Wahuni’ Wavamia Nyumbani kwa Polepole

Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa CCM, Humphrey Polepole jijini Dodoma leo wakati yeye akiwa safarini mkoani Manyara. Kupitia...

READ MORE

Watakaowadanganya Mawaziri Kuvuliwa Nyadhifa Zao

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amesema meneja, mkuu wa taasisi na watendaji wa wizara hiyo wanaotoa majibu...

READ MORE

Rais Samia Afunga Mafunzo Ya Uofisa Chuo Cha Polisi Kurasini Dar- (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kozi...

READ MORE

Uzinduzi Wa Matangazo Ya Vivutio Vya Utalii Katika Mabasi Nchini Israel

Katika kuhitimisha maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Job Daudi Masima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

CCM Yashinda Uchaguzi Jimbo la Ngorongoro

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ngorongoro Dkt. Jumaa Mhina amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Shangai kuwa Mbunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni

Polisi mwenye cheo cha Konstebo, Onesmo Joseph, amekufa baada ya kupigwa risasi na askari mwenzake, aliyetajwa kwa jina la Joseph,...

READ MORE

Bashungwa Awataka Vijana Kuacha Chuki

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wasanii kushindana bila chuki na uhasama katika kukuza muziki na...

READ MORE

Polepole Alia na ‘Wahuni’ Ndani ya Serikali – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema kuna baadhi ya watu ndani ya Serikali (ambao hajawataja) wamekuwa wakifanya vitu vya hovyo...

READ MORE

Polepole: Siondoki CCM – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema hataondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kama ambavyo watu waekuwa wakimsema kwani anaamini...

READ MORE

Sakata la Machinga, Polepole Ahoji “Mhe. Rais Aliwatuma Hivyo?”

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amewataka viongozi wanaosimamia mamlaka za miji na majiji kuhakikisha wanafuata maelekezo ya Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Polepole Ataka Serikali Iwajibu Wanaohoji Deni la Taifa Awamu ya Tano – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amewataka viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza na kuwajibu watu wanaohoji kuhusu...

READ MORE

Polepole Aitwa Kujieleza TCRA “Siwezi Kunyamazishwa” – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema ameitwa na Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kujieleza kuhusu tuhuma zinazomkabili huku akidaiwa...

READ MORE

Polisi Kilimanjaro Wateketeza Mashamba ya Mirungi

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro leo tarehe...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa...

READ MORE

Wanandoa Watupwa Jela kwa Kutesa Mtoto Wao

MWANAUME mmoja na mke wake wa pili wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

“Sisi Ndio Tunapaswa Kulaumiwa” – Naibu Waziri Silinde

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) David Ernest Silinde, amefurahishwa na fedha zilizotolewa na Rais Samia Suluhu kwa...

READ MORE

Mume Amuua Kikatili ‘Mchepuko’ Wa Mkewe-Video

Mkazi wa Kijiji cha Kibaoni Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa kwa kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

Waziri Mhagama Awataka Wenye Viwanda Kuimarisha Afya, Usalama na Maslahi ya Wafanyakazi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ametoa wito...

READ MORE