×

Habari

Raila Odinga Azitembelea Familia za Magufuli na Mkapa

ALIYEKUWA Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga hii leo amezitembelea familia za marais wa zamani nchini Tanzania Hayati John Pombe...

READ MORE

Rais Samia Awalilia Askari Waliouawa Kwenye Shambulio Dar

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia za askari watatu na askari mmoja wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA...

READ MORE

Polisi Yasema Waliouawa Wafikia Wanne – Video

WATU wanne wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika tukio la kurushiana risasi baada ya mtu mmoja ambaye hajafahamika kuwavamia...

READ MORE

Kauli ya Sirro Kuhusu Aliyeua Askari Naye Kuuawa Dar – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro amethibitisha kuuawa kwa askari wawili wa Jeshi la Polisi wakati wa...

READ MORE

Gwajima Aomba Kuhojiwa Akiwa Amesisima, Agomea Kiti -Video

Askofu Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka...

READ MORE

Simanzi Nzito Mazishi ya Meya Shinyanga

Mwili wa Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila (57) aliyefariki dunia Agosti 23,2021 umewasili katika Kanisa Katoliki la...

READ MORE

Aliyejihami kwa Bunduki Aua Askari Wawili Dar – Video

MTU mmoja aliyejihami kwa bunduki ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya risasi mkoani Dar es salaam. Kwa...

READ MORE

Breaking: Jambazi Aua Askari Wawili Dar, Naye Auawa

HALI ya taharuki imezuka katika eneo la Barabara ya Ali Hassan Mwinyi (karibu na Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa), zilizopo Kinondoni...

READ MORE

Jengo la Ghorofa 70 Litakalojengwa Zenji

JENGO la ghorofa 70, urefu wa mita 385 litakalojengwa Zanzibar katika kisiwa cha Chapwani Unguja litakuwa na huduma mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Tume ya Tehama Nchini yazindua tuzo

TUME ya Tehama Tanzania, imezindua tuzo za Tehama nchini, ambapo washiriki wanapendekezwa na Wananchi wanaotumia Teknolojia zinazoendeshwa na wahusika ambao...

READ MORE

Rais Samia: Unaweza Kukuta Gaidi Umepanga Naye Nyumba Moja – Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 25, 2021 anafungua kikao kazi cha siku tatu cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu,...

READ MORE

Mtangazaji Aachwa Baada ya Kulipa Mahari

MTANGAZAJI wa chombo cha habari cha Citizen cha Kenya Trevor Ombija ameeleza masikitiko yake baada ya kuachwa na mpenzi wake...

READ MORE

Ruto Amjibu Kenyatta: ”Sitajiuzulu Kamwe”

Naibu wa Rais nchini Kenya, William Ruto siku ya Jumanne alisema kwamba hatojiuzulu saa chache tu baada ya Rais Uhuru...

READ MORE

RC Makalla Azindua Mfumo Rasmi Wa Ukusanyaji Ushuru wa Maegesho

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo Agosti 24 amezindua mfumo rasmi wa ukusanyaji wa...

READ MORE

Polisi Wawadaka Watuhumiwa wa Ugaidi Wakiwa wa Silaha

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wa ugaidi katika Kivuko cha Likoni, wakiwa njiani kuelekea jijini Mombasa....

READ MORE

Silaa Afunguka Baada ya Kuhojiwa – Video

Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametakiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kurejea tena...

READ MORE

Mchungaji Mashimo Ataka Kufungishwa Ndoa na Gwajima

Mchungaji Mashimo ameenda kwa Askofi Josephat Gwajima na kumuomba amfungishe ndoa na mchumba wake ambaye hakutajwa jina.   Juzi katika...

READ MORE

Jerry Slaa Alivyowasili Bunge Kuhojiwa na Kamati Ya Maadili

Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Spika Job...

READ MORE

Rais Samia Kufungua Mkutano Kesho

Rais Samia Suluhu Hassan kesho Agosti 24, 2021 anatarajiwa kufungua kikao kazi cha siku tatu cha Maofisa Wakuu wa Makao...

READ MORE

Watuhumiwa 16 Wanaswa na Silaha, Bangi na Mali za Wizi

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watuhumiwa 16 kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha bangi, wizi wa mali inayosafirishwa, mali za...

READ MORE

Mwanamke Atokwa Maziwa Kwenye Kwapa Baada ya Kujifungua

KUJIFUNGUA mtoto kunakuja na mabadiliko mengi katika mwili, mabadiliko ambayo megine ni ya kawaida na yasiyo ya kawaida. Mwanamke mmoja...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Sabaya Kutolewa Oktoba 1 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha kusikiliza kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole...

READ MORE

Askofu Ruwai’chi: Naagiza Mapadri Wote Dar Lazima Mkachanjwe, Tuache Utoto

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi amewaagiza mapadre wote wa jimbo hilo...

READ MORE

Polisi Aibuka Hospitali, Amuua kwa Risasi Mkewe Akitibiwa

MAOFISA wa polisi wanachunguza kisa kimoja ambapo mwenzao kutoka Kituo cha Polisi cha Njoro nchini Kenya amepiga risasi na kumuua...

READ MORE

Nani Kuondoka na Smart Tv ya inchi 55 Katika Droo ya Kwanza ya KaliKuliko

  Habari njema kwa wateja wa Infinix NOTE 10, NOTE 10pro, HOT 10t, HOT 10play na HOT 10i wa mwezi...

READ MORE

Vodacom Yashirikiana na Samsung Kuzindua Simu Mpya ya Samsung A22

Ili kuongeza wigo wa matumizi ya simujanja, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeungana na kampuni ya...

READ MORE

Hichilema Aapishwa Kuwa Rais wa Zambia – Video

Hakainde Hichilema amekula kiapo kuwa rais wa Zambia mbele ya umati wa watu waliokuwa wakishangilia Uwanja wa Mashujaa katika mji...

READ MORE

Rais Samia Awasili Zambia Kuhudhuria Sherehe ya Kuapishwa Rais Mpya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24, 2021 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

DC Apiga Marufuku Vimini, Milegezo

MKUU wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, amepiga marufuku mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini na suruali...

READ MORE

Miili ya Watumishi Watano TRA Yaagwa – Video

  Vilio na majonzi vimetawala leo hii  Agosti 24, 2021, katika viwanja vya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mbeya,...

READ MORE

Mbaloni kwa Kukutwa na Viungo vya Binadamu Kwenye Friji

MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 28 anashikiliwa na polisi kwa mauaji mkoa wa Bono. Polisi nchini Ghana wanachunguza mauaji...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Zambia Kuhudhuria Kuapishwa Rais Mteule -Video

    Rais Samia Suluhu Hassan, ameagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini...

READ MORE

Breaking: Gwajima, Silaa Waondolewa Kamati Maadili

WABUNGE Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Mwanamke wa Afghanstan Ajifungua Kwenye Ndege ya Kijeshi ya Marekani

KUTOKANA na vurugu zinazoendelea nchini Afghanistan imeelezwa kuwa mwanamke mmoja raia wa Afghanistan amejifungua mtoto wa kike ndani ya ndege ya jeshi ya...

READ MORE

Kauli ya Kamati ya Bunge Baada ya Kumhoji Gwajima – Video

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amehojiwa jana Jumatatu, Agosti 23, 2021 Dodoma kwa zaidi ya saa mbili na kamati...

READ MORE

Aliyekataa Chanjo Afariki kwa Corona

Mtangazaji wa vipindi vya radio katika Jimbo la Tennessee nchini Marekani Bw. Phil Valentine aliyekuwa mmoja kati ya watu waliozipinga...

READ MORE

Aomba Kuachiwa: “Hati ya Mashtaka si Yangu”

MSHTAKIWA namba tatu katika kesi ya unyang’anyi wakutumia silaha, Daniel Mbura ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imuachie huru arudi...

READ MORE

Rais Samia, Viongozi wa CCM Kuelekea Zambia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ataondoka nchini kesho Agosti 24, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa...

READ MORE