×

Habari

Alichokisema Rais Samia Mbele ya Kagame – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa...

READ MORE

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimedai kuwa makada wake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi akiwemo...

READ MORE

Delta Imeongeza Maambukizi ya Corona Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na...

READ MORE

Wataalamu Waeleza Sababu za Watoto Kutoshambuliwa na Corona

WATAALAM wa tiba za binadamu wamesema kuwa kufa na kuzaliwa kwa cell mara kwa mara kwa watoto ndio sababu inayopelekea...

READ MORE

Alcohol Pills, Teknolojia ya kulewa bila kunywa

Hii inaweza kuwa habari njema sana kwa wanywaji wa pombe! Inafahamika kwamba ili ulewe, lazima unywe kinywaji chenye kilevi ukipendacho,...

READ MORE

IGP Sirro: Mbowe Sio Malaika, Ukiandamana Utakung’utwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Simon Sirro amewataka wafuasi wa Chadema kuacha kuishinikiza mahakama ili Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Mbunge CCM Ajiuzulu Wiki 3 Baada ya Kushinda Uchaguzi

MBUNGE wa Jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejiuzulu ubunge kuanzia leo Jumatatu, Agosti 2,...

READ MORE

SGA Security Yapongezwa kwa Kuwajali Wafanyakazi

  Kampuni ya SGA Security imepongezwa kwa rekodi yake maalumu ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanadumu kwa muda mrefu hadi umri...

READ MORE

Nunua TECNO Camon 17 na TECNO Spark 7 Ujishindie Zawadi za Sh. 100M

  Kampuniyasimu TECNO kupitia ukurasa @tecnomobiletanzania  inawakambusha  wateja wa simu za TECNO kuhusiana na promosheni ya VIMBA. TECNO inawataka wateja...

READ MORE

Msigwa: Hitaji la Watanzania Sio Katiba, Wapinzani Wasubiri – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wapinzani wanatakiwa kuwa na subira kuhusu suala la kukutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Msigwa Afunguka Hasara ATCL: Hakuna Faida Kwenye Tiketi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilionesha Shirika...

READ MORE

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa...

READ MORE

Waziri Biteko Atoa Siku 60 Leseni Zisizofanya Kazi Kufutwa

    Waziri wa Madini Doto Biteko, ametoa siku 60 za kufuta leseni za uchimbaji wa madini zilizohodhiwa na wawekezaji...

READ MORE

Waziri Jafo: NMB Mnaitendea Haki Tanzania na Watu Wake

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ameitaja Benki ya NMB kuwa...

READ MORE

Benki ya NBC Yaendelea Kuwagusa Wakulima Kupitia Bima ya Afya

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi  (Kushoto) akimkabidhi zawadi kutoka benki hiyo  Mrajisi wa Vyama vya Ushirika,...

READ MORE

Benki ya UBA Yaadhimisha Miaka Mitano ya Falsafa ya ‘Mteja Kwanza’

Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja UBA Tanzania Dora Kyungu akimsikiliza kwa makini mmoja wa mteja wa benki hiyo...

READ MORE

Mapato ya EABL Yaendelea Kukua Pamoja na Ugumu wa Biashara

      Kampuni ya Bia ya Afrika Mashariki (EABL) imepata ongezeko la mapato la asilimia 15 kufikia shilingi za...

READ MORE

NMB Yaendelea Kuongoza Kwa Faida Katika Sekta ya Kibenki Nchini

  Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2021. Faida...

READ MORE

Jinsi Bolt Inavyoboresha Maisha Kupitia Usafiri wa Mtandao

“Nilijiunga na Bolt miaka miwili iliyopita kwa sababu nilitaka kufanya kitu tofauti. Nilikuwa nikitumia Bolt sana kama abiria katika safari...

READ MORE

Mashine Mpya Imetua Yanga, Yatambulishwa

WANANCHI mpooo? Basi kaeni mkao wa kushangilia kwani ile mashine inayojua kucheka na nyavu kutoka DR Congo imetua hapa nchini...

READ MORE

Msemaji wa Serikali: Tanzania Kutapata Chanjo Milioni 11 – Video

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Agosti 1, 2021 akizungumza na Watanzania katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu...

READ MORE

Ajali; Watu Watano Wafariki Dunia Kagera

Watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya gari eneo la Kasindaga, Biharamulo, Kagera baada ya basi la abiria kugongana uso...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Kufanya Ziarani Nchini Rwanda

Rais Samia kesho Agosti 2, 2021 anatarajia kuanza ziara ya siku 2 nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais Kagame ili...

READ MORE

Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu Kupokea Kifuta Jasho Cha Mil 90

Jumla ya Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu 90 katika eneo la kijiji cha Tumuli wataanza kupokea kifuta jasho kuanzia tarehe 2...

READ MORE

Wanufaika Mikopo Elimu ya Juu Wameongezeka kutoka 125,126 Mwaka 2015 Hadi 132,392 Mwaka 2020: Kipanga

  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga (Mb) amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Sekta...

READ MORE

Naibu Waziri Awaomba Wadau Kusaidia Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Serikali imesisitiza kwamba itaendelea kufanya jitahada mbali mbali katika kuwajumuisha watu wenye ulemavu katika nyanja zote za uchumi na kutoa...

READ MORE

Kumenoga: Muonekano Mpya, Barabara Ya Dar – Kibaha -Video

 Huu ndio kuonekano mpya wa barabara ya Kimara – Kibaha yenye urefu wa Km 19.2 ambayo kwa sasa upo...

READ MORE

Ally Sonso: Nakwenda KMC

  ALIYEWAHI kuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga, Ally Mtoni Sonso, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa yeye kujiunga na...

READ MORE

Serikali Yavunja Ukimiya Magari Matatu Ya Diamond

MAMLAKA ya Mapato Tanzania – TRA imevunja ukimya kuhusu gharama za magari ya kifahari ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Video: Babu wa Loliondo Afariki Dunia

BABU wa Loliondo ambaye jina lake halisi ni Ambilikile Mwasapile aliyepata maarufu kubwa wa kutoa tiba ya kikombe kilichokuwa kinadaiwa...

READ MORE

Mjane wa Kapteni John Komba, Azindua Ukumbi wa Kisasa Dar

    MJANE wa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la ToT, Hayati John Komba, Bi Salome Komba baada ya kifo cha...

READ MORE

Vodacom Yahitimisha Twende Mjini na M-Pesa Mdada Akiondoka na Ndinga Mpyaa

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imehitimisha promosheni yake ya Twende Mjini na M-Pesa iliyochukua wiki nane kwa kuwakabidhi wateja zawadi...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ndege Mpya ya Bombardier (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Julai 30, 2021 amepokea ndege mpya aina ya Bombardier Dash 8-Q400,  katika Uwanja...

READ MORE

Yanga, Simba Wapigwa Rungu na TFF, Mukoko Na Morrison Wapigwa Pini

NYOTA Mukoko Tonombe kiungo wa Yanga amepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kumpiga kiwiko mshambuliaji wa Simba,...

READ MORE

Usipitiwe na Udahili wa Vyuo Vikuu Nje ya Nchi Mwaka 2021

Global Education link Inakuletea On Spot Admission Event 2021 yaani Udahili wa papo kwa papo katika Vyuo Vikuu Nje ya...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kulazimisha Watumishi Kuchanjwa

SERIKALI imesema haijatoa maelekezo ya kuwalazimisha watumishi wa umma kupokea chanjo ya Corona kama ambavyo imezushwa na wahalifu kupitia mitandao...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Ateua Mtendaji Mkuu wa Tanroads

Rais Samia leo Julai 30, 2021 amemteua, Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) na...

READ MORE

Waziri Ummy Atoa Siku 7 Uchunguzi Vifo vya Wanafunzi 3 Mpwapwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa...

READ MORE

CCM Yafanya Uteuzi Huu Mkubwa

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...

READ MORE