×

Habari

Mpinzani wa Rais Putin Mbaroni Baada ya Kutua Moscow

Kiongozi wa upinzani Urusi, Alexei Navalny alikamatwa jana katika uwanja wa ndege wa Moscow wakati akijaribu kuingia nchini humo akitokea...

READ MORE

Inatisha! Kijana Awaua Baba, Dada… Naye Auawa

MCHUNGAJI wa kanisa wilayani Nyamagana, jijini Mwanza na binti yake wameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu na mtoto wake wa kiume...

READ MORE

Chatu Awa Tishio Mabwepande, Wananchi Waiangukia Serikali

Wananchi wa eneo la Kitunda Mtaa wa Bunju B, Kata ya Mabwepande, Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuwasaidia...

READ MORE

JPM Afungua Shule ya Ihungo, Aonya Wanafunzi Kuendelea Kukaa Chini Dar – Video

RAIS John Magufuli, akiwa katika ziara mkoani Kagera, leo Januari, 2021, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha...

READ MORE

Wenyeviti Kamati 14 za Bunge Kujulikana Leo Dodoma

UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati...

READ MORE

Kuchimba Dawa! Madereva wa Mabasi, Wenye Hoteli Kitanzini

  “UKIFIKA hotelini, kama huna fedha, utaishia kununua maandazi.” Joackim Mwakalobo, mkazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, analalamika kuhusu gharama kubwa...

READ MORE

Amuua Babu Yake Baada ya Kumuona Anateseka na Maradhi

Saidi Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili...

READ MORE

Sangoma Asakwa Kusababisha Kifo cha Mwanaye Akimsafisha Nyota

POLISI  Mkoa wa Shinyanga inamsaka mganga wa jadi, Dela Megejuwa Lwaho (44), kwa kusababisha kifo cha mtoto wake, Juma Dela...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kubaka, Kumpa Ujauzito Binti Yake!

KIJANA mmoja mkazi wa kijiji cha Igunila kata ya Ziba wilayani Igunga mkoani Tabora, Sharif Idd Maganga (28) amekamatwa na...

READ MORE

Simbachawene: Nitawafagia Askari Hawa!

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema askari watakaoshindwa kuwabaini wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia...

READ MORE

Kisa Wafuasi wa Trump! Usalama Waimarishwa Bunge la Marekani

WAANDAMAJI nchini Marekani wamekusanyika nje ya majengo ya serikali kuunga mkono madai yasiyo ya msingi ya rais Donald Trump ya...

READ MORE

Video: C Pwaa Azikwa Makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, Dar

MAZIKO ya Msanii wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa yamefanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Nindi, taarifa ilioyotolewa...

READ MORE

Majonzi: Mwili Wa C Pwaa Ulivyowasili Nyumbani Kwao, Huzuni Yatanda

 MSANII Mkongwe katika tasnia ya Muziki Tanzania, Ilunga Khalfa maarufu kama C PWAA Amefariki dunia alfajiri ya leo Januari...

READ MORE

DStv Yamwaga Ofa Kwa Wateja Wake ‘Panda Tukupandishe’

MultiChoice Tanzania Januari 16, 2021 imetangaza promosheni maalum kwa wateja wa DStv ambapo kwa kipindi cha miezi mitatu itakuwa ikiwapandisha...

READ MORE

Rais Magufuli Aongea na Wananchi wa Muleba, Kagera – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2021 ameanza ziara ya kikazi mkoani Kagera ambapo ataweka mawe ya msingi na...

READ MORE

Jafo Aamuru Viongozi Miradi ya TBA Wakamatwe

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jafo ameamuru kukamatwa na...

READ MORE

JPM Awataka Watanzania Kuongeza Uzalishaji wa Mazao

RAIS John Magufuli leo Januari 17, ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita...

READ MORE

JPM Asali Ibada Ya Jumapili Kanisa La Bikira Maria Chato, Geita

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo Januari 17,...

READ MORE

Tanzia: Msanii ‘C Pwaa’ Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa amefariki Dunia alfajiri ya leo akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Taifa...

READ MORE

Mwanafunzi Akiri Kumchinja na Kunywa Damu ya Binamu Yake

KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 16 katika eneo la Embu nchini Kenya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini humo...

READ MORE

Wanachuo 13 Mbaroni kwa Udanganyifu Mtihani wa ‘Sup’

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 13 wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo...

READ MORE

Waziri Mashuhuri Auawa na Jeshi

  Vikosi vya jeshi la Ethiopia vimetangaza kumuua waziri wa zamani wa mashauriano ya kigeni wa Ethiopia Seyoum Mesfin, mmoja...

READ MORE

Basi la Saratoga Lagongana na Hiace

AJALI  imetokea majira ya saa 11 alfajiri ya leo Jumamosi, Januari 16, 2021, baada ya basi la abiria, mali ya...

READ MORE

Matokeo Rasmi Uchaguzi Uganda Kutangazwa Leo

TUME ya Uchaguzi nchini Uganda inaendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Januari 14, huku matokeo rasmi ya uchaguzi wa...

READ MORE

Day Care Centre Zaagizwa Kuwa na Wataalam wa Malezi kwa Watoto

Wamiliki wa Vituo vya Malezi kwa Watoto (Day Care Centre wamewatakia kuwa na watalaam wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya...

READ MORE

Wasichana, Wavulana 10 Bora Matokeo Kidato cha Nne 2020

LEO Januari 15, 2021,  ni siku ambayo watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020, wanavuna walichopanda baada ya ...

READ MORE

Dar, Bagamoyo Vinara Matokeo Kidato cha Nne 2020

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo iliyopo Mkoa wa Pwani imeshika nafasi ya kwanza kati ya Halmashauri 10 zilizofanya vizuri katika...

READ MORE

Tume ya Ushindani Yaanza Uchunguzi Mabadiliko Simba

TUME ya Ushindani (FCC) imeanza uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba ambao unawahusu wadaawa watano. Kwa...

READ MORE

Huyu Nd’o Kinara Matokeo Kidato cha Nne 2020

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) limemtangaza Paul Cosmas Luziga kama mwanafunzi bora wa mwaka 2020 katika matokeo ya kidato...

READ MORE

Shule 10 Bora Kidato cha Nne 2020, Matokeo Haya Hapa!

  BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato nne mwaka 2020 na kuzitaja shule 10...

READ MORE

Rais wa Korea Kusini Jela Miaka 20

Mahakama ya juu ya Korea Kusini leo imethibitisha adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela, kinachomkabili rais wa zamani Park...

READ MORE

WHO Wawasili Wuhan China Kuchunguza Chanzo cha Corona

Ikiwa Bado Sintofahamu ya CORONA Kuendelea Dunia Wataalam wa WHO Wamewasili China Mji wa Wuhan Kuchunguza Chanzo. Wakati huohuo wataalamu...

READ MORE

Bobi Wine Apinga Matokeo Uchaguzi Mkuu Uganda

MGOMBEA wa upinzani nchini Uganda katika nafasi ya urais, Bobi Wine, leo Januari 15, 2021,  amepinga matokeo ya uchaguzi ambayo...

READ MORE

Mchumi wa Benki Kuu ya Rwanda Afariki Dunia

MCHUMI wa Benki Kuu ya Rwanda, Thomas Kigabo amefariki dunia leo Januari 15, 2021 kutokana na Covid-19.   Amefariki mjini...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Kitaifa Matokeo ya Kidato cha Nne 2020

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne huku wavulana wakiongoza katika orodha ya wanafunzi 10 bora....

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo ya QT

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Nne

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE

Matokeo ya Mtihani Kidato cha Pili 2020

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani ya...

READ MORE

Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020/2021 Haya Hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE