×

Habari

Polisi: Wapo WaTZ Wahusika Mashambulizi Mpakani na Msumbiji

POLISI nchini imesema kwamba kuna raia wa Tanzania wanaohusika na mashambulizi yanayofanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania.   Kamishna wa...

READ MORE

TCC Yatoa Vifaa Saidizi Zaidi ya 800 kwa Watu Wenye Ulemavu

KAMPUNI ya Sigara Tanzania (TCC Plc) imetoa vifaa saidizi zaidi ya 800 kwa watu wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitano...

READ MORE

Washindi 12 Wasepa na zawadi za NMB Mastabata Siyo Kikawaida

Benki ya NMB imewazawadia washindi 12 zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya milioni 28 kwenye bahati nasibu ya mwezi...

READ MORE

Mwigulu: Mwenendo wa Mashauri, Hukumu Ziandikwe kwa Kiswahili

Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa umakini mkubwa wananchi katika tasnia ya sheria ambapo imeagiza kuanza haraka uandaaji wa sheria kwa lugha...

READ MORE

Wakurugenzi Watakaokusanya Chini ya 50% Kuondolewa

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri 185 Nchini kuhakikisha wanafikisha zaidi ya 50% ya makusanyo ya mapato...

READ MORE

Aiba Mtoto Kunusuru Ndoa Yake

Lilian Stanley (36) mkazi wa Tumbaku, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani...

READ MORE

Mfahamu Mwanawake Anayedai Ana Makalio Makubwa Zaidi Afrika Magharibi

INAONEKANA Afrika Magharibi iko mstari wa mbele katika ulimwengu ambao kinamama wake wanadai au kudaiwa kuwa na makalio makubwa zaidi....

READ MORE

Mradi wa Premier Waleta Furaha, Kituo cha Kulelea Watoto Yatima

Miradi ya Premier imetoa msaada wa chakula, vinywaji, vifaa vya chooni, madaftari na vitabu pamoja na vifaa vingine muhimu kwa...

READ MORE

Tanapa Inavyokabiliana na Changamoto Katika Sekta ya Uhifadhi

  SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (Tanapa), limejipangia mikakati ya mazao ya utalii ili kuhakikisha linatekeleza kwa kishindo Ilani ya...

READ MORE

Simanzi! Ibada ya Kuaga Mwili wa Baba Jokate, Ruvuma

BABA mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, marehemu Urban Ndunguru,  anatarajiwa kuzikwa leo Jumanne, Desemba 22, 2020,...

READ MORE

Urusi Yaanika Kombora Jipya; ‘Halionekani, Halizuiliki’

RAIS Vladimir Putin wa Urusi amesema nchi hiyo inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani huku...

READ MORE

Fifa Kumburuza Mahakamani Sepp Blatter

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), limesema kuwa litamfungulia mashtaka ya jinai rais wake wa zamani Sepp Blatter, kwa...

READ MORE

Bibi Maarufu Moshi Astaafu Rasmi Ombaomba

KWA wakazi wengi wa mjini Moshi watakuwa ama wanamfahamu au wamewahi kumsikia Elizabeth Ng’wanza, ombaomba wa muda mrefu eneo la...

READ MORE

‘Nyota ya Yesu’ Yaonekana Live Bethlehem

BAADA ya zaidi ya miaka 400, jana (Jumatatu) usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya...

READ MORE

Zawadi Bora kwa Ndugu ni Bima ya Afya ya Jamii Iliyoboreshwa – HPSS

  TIMU ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na HPSS Boresha Afya...

READ MORE

TCRA: Mafundi Simu, Nendeni Mkasome

SERIKALI imesema ipo katika mchakato wa kutunga sheria itakayoweka utaratibu wa mafundi simu kusoma taaluma hiyo vyuoni na kupata cheti...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 9 Aongoza kwa Kulipwa Pesa Nyingi YouTube

  JARIDA la Forbes, linamtaja kijana #RyanKaji, mwenye umri wa miaka tisa, kuwa ndiye Youtuber (mpandisha maudhui kwenye mtandao wa...

READ MORE

Mitambo ya Symbion Power Kupigwa Mnada

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, imeamuru mitambo ya kufua umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada baada...

READ MORE

TCRA: Ujenzi wa Kiwanda cha Simu Nchini Kuanza 2021

MAMLAKA ya Udhbiti wa Mawasiliano nchini (TCRA) imesema ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza simu nchini unaotarajiwa kuanza mwakani utaweza kurahisisha upatikanaji...

READ MORE

Avunja Nyumba, Aiba TV, Anaswa!

  POLISI  Mkoa wa Mbeya linamshikilia Rashid Kindole (21) mkazi wa Mkunywa–Madibira Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za kupatikana na...

READ MORE

Dkt. Gwajima Aanza na Wakurugenzi Afya

WAKURUGENZI wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wametakiwa kuainisha changamoto na...

READ MORE

Waziri Mwigulu Atoa Maagizo RITA

Serikali imeutaka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wenye maskani yake Jijini Dar es salaam kuanza mchakato wa haraka...

READ MORE

Ziara ya Waziri Usiku wa Manane Yashtua Wengi

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji wa Mzakwe wenye thamani ya zaidi ya sh....

READ MORE

Polisi: Mauaji Mengi 2020 Ni ya Wivu wa Mapenzi

  POLISI nchini  imesema kuwa kwa kiasi kikubwa mauaji ya watu yaliyotokea nchini kwa mwaka 2020 yalisababishwa na wivu wa...

READ MORE

NMB Kuwanogesha Wateja Wao Msimu Huu wa Sikukuu!

Benki ya NMB imeendelea kuhakikisha wateja wao wanafurahia na kufaidika na huduma zao ikiwemo kutoa elimu juu ya umuhimu wa...

READ MORE

MC Pilipili Asimulia Mama Yake Alivyokufa – Video

Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, Emanuel Mathias maarufu MC Pilipili amesema mama yake mzazi na mama yake mdogo wamefariki dunia...

READ MORE

Shangwe Shangwena Mkazi wa Kigamboni Dar Ajishindia Gari na Vodacom

Mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mkazi wa Kigamboni akifungua mlango wa gari mpya aina...

READ MORE

Madiwani Wanawake Waishukuru TGNP Kuwaandalia Warsha Iliyowanoa

MADIWANI wanawake kutoka Halmashauri 24 nchini, wameupongeza Mtandao wa Jinsia wa TGNP kwa kuwaandalia warsha ya siku nne iliyowapa mafunzo...

READ MORE

GNM Cargo Yaja na Hili Balaa la Krismasi – Video

MABINGWA wa kusafirisha mizigo kutoka China kuja Afrika Mashariki, Kampuni ya GNM Cargo tunawatakia wateja wetu wote na Watanzania wote...

READ MORE

Jaji Mkuu Atoa Tamko kwa Mawakili wa Kujitegemea

JAJI Mkuu  Prof. Ibrahim Hamis Juma, amewaasa mawakili wapya wa kujitegemea kuwawakilisha vyema wananchi wanaosimamia kesi zao mahakamani kwa kufuata...

READ MORE

Jafo Ataka Wakurugenzi wa Halmashauri Nne Kujieleza

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo, leo Desemba 21, 2020,...

READ MORE

Abiria Kutoka Uingereza Wapigwa Marufuku Ulaya

Tangu hapo jana Jumapili, mataifa kadhaa ya Umoja wa Ulaya yamekuwa yakipiga marufuku kuingia kwa ndege za abiria zinazotokea nchini...

READ MORE

Tumepiga Hatua Kujenga Mazingira Bora ya Uwekezaji Nchini

Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka...

READ MORE

Mwili wa Baba Jokate Ulivyoagwa Dar Leo

Mwili wa Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo, leo uliagwa na waombolezaji kwenye ibada...

READ MORE

Jeshi la Polisi Laipongeza SGA kwa Kuwajali Wafanyakazi

SGA Security, ambayo ni kampuni inayoongoza na kongwe ya binafsi ya ulinzi Tanzania imepogezwa na Jesi la Polisi kwa namna...

READ MORE

Bichuka: Mkongwe wa Sikinde Anayeshambuliwa na Maradhi, ‘Nisaidieni’

MWIMBAJI Mkongwe aliyeitumikia Bendi ya Sikinde kwa miaka mingi, Hassan Bichuka, ameeleza Watanzania kupitia Global TV Online kuwa maradhi aliyoyapata...

READ MORE

Kampuni Yalipwa Mamilioni Kulinda Biden Akiapishwa

RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden anatarajiwa kulindwa na kampuni maalum ya ulinzi ambayo italipwa mamilioni ya fedha kwa ajili...

READ MORE

Sadiki Momba na Baina Mazola Walivyotoana Kijasho Ulingoni

Bondia Baina Mazola na Sadiki Momba usiku wa kuamkia leo walitoana kijasho ulingoni kwenye mpambano wa raundi nane usiokuwa wa...

READ MORE

NMB Yafanikisha Kutengeneza Ajira kwa Wahitimu Vyuo Vikuu

Benki ya NMB imefanikiwa kutengeneza fursa za ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu zaidi ya 50 kupitia programu yake maalumu...

READ MORE