×

Habari

Serengeti: Wanawake Walalamikia Kuolewa na Kaburi

Baadhi ya wanawake wa Wilaya ya Serengeti wamelalamikia utamaduni wa kuolewa na makaburi ambao bado upo hadi sasa kwa baadhi...

READ MORE

Caf Yafuta Mashindano ya Afcon Under 17

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa...

READ MORE

M-Net Yatangaza Neema Kwa Wazalishaji Filamu Tanzania

M-Net, Kampuni tanzu ya MultiChoice, ambayokwa zaidi ya miaka 30 imejizolea umaarufu mkubwa kwa vipindi vyake vya burudani hususan filamu,...

READ MORE

Ubaguzi Familia ya Malkia Waibua Mazito Meghan, Harry

MEGHAN Markle na Prince Harry katika interview mpya na Oprah Winfrey wamesema hata kabla mtoto wao hajazaliwa baadhi ya wanafamilia...

READ MORE

Shujaa wa Kenya Westgate Aidhinishwa Kuwa Seneta

Mfanyabishara Abdul Haji, aliyepata umaarufu kwa kukabiliana na wanamgambo waliovamia duka la Westgate katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, mwezi...

READ MORE

Stamico Ya Sheherekea Siku Ya Wanawake Kitofauti

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 8 Feb 2021 imeungana na wanawake wote Duniani kusheherekea siku ya wanawake...

READ MORE

Taasisi za Mafuta za Saudi Arabia Zashambuliwa

WAASI wa Houthi nchini Yemen wenye mafungamano na Iran wamerusha ndege 14 zisizo na rubani na makombora 8 katika taasisi...

READ MORE

20 Wafa Katika Mlipuko Mkubwa Equatorial Guinea

WATU zaidi ya 20 wamefariki katika milipuko mikubwa iliotokea katika kambi ya jeshi katika mji wa Bata, mji mkuu wa...

READ MORE

Serikali Yaanika Makubwa Iliyotekeleza, Mikakati Mipya – Video

KATIKA kipindi cha miaka mitano, hadi Februari 2021, serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kutekeleza jumla ya miradi 1,845 yenye...

READ MORE

Serikali Yastuka Laini za Simu Zinavyotumika Katika Matukio ya Uhalifu

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dr.Faustine Ndugulile amewasihi Watumiaji wa simu kuangalia laini zilizosajiliwa kwa majina yao kupitia...

READ MORE

Serikali: Tunaikabili Corona Kisayansi na Kiasili

Serikali imesema inaendelea na jitihada za kuyakabili maambukizi mapya ya COVID-19 kwa kutafuta tiba mbadala na kusema licha ya kutumia...

READ MORE

Wanafunzi Zaidi ya 2,000 Hawajaripoti Shuleni Lindi

AFISA Elimu wa Mkoa wa Lindi, Victor Kayombo amesema wanafunzi 2,162 ambao ni sawa na 13% ya Wanafunzi 15,860 waliochaguliwa...

READ MORE

Morogoro: Muuguzi Achomwa Kisu na Mgonjwa, Afariki

MTAWA muuguzi wa Kituo cha Kuhudumia Wagonjwa wa Ukoma cha Nazareth kilichopo Ifakara, Agatha Mbalalila (50), amefariki baada ya mmoja...

READ MORE

Utafiti: Wanaume Wanaathirika Zaidi na Covid 19 Kuliko Wanawake

UMOJA wa Mataifa umesema virusi vya Corona vinasababisha vifo kwa wanaume wengi zaidi Barani Afrika kuliko wanawake ambao wao wanaandamwa...

READ MORE

Halotel, Yawasaidia Wanawake Siku ya Wanawake Duniani

Katika kuazimisha siku ya wanawake duniani, kampuni ya Halotel Tanzania imesherekea kwa kuunga mkono juhudi za wanawake katika majukumu yao...

READ MORE

Mlima wa Dhahabu Wagunduliwa DRC, Wanakijiji Waushambulia

Serikali ya DR Congo ililazimika kutuma maafisa wa polisi kuimarisha usalama katika eneo ambalo kanda moja ya video iliwaonyesha wanakijiji...

READ MORE

Kenya Yatangaza Kutopokea Mahindi Kutoka Tanzania na Uganda

Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imedai uchunguzi umebaini kuwa mahindi yanayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa...

READ MORE

Bashe Acharuka Kenya Kuzuia Mahindi

SERIKALI nchini imesema imesikitishwa na kilichofanywa na Kenya kuzuia mahindi ya Tanzania bila kuwapa taarifa rasmi na kwamba kilichofanyika sio...

READ MORE

Nafasi ya kazi 3 Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Deck hand

POST DETAILS POST DECK HAND – 3 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI) APPLICATION...

READ MORE

Meridian Bet Yasaidia Ujenzi Kituo cha Yatima cha Mama wa Huruma

UONGOZI wa kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imetoa mkono wa faraja kwenye kituo cha kulea watoto yatima cha...

READ MORE

Guardiola Awahofia Mastaa Man U, Kucheza Etihad Leo

BOSI wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri kuwa wapinzani wao Manchester United ni tishio kwani wamekamilika kila kila idara huku...

READ MORE

Utashangaa! Dereva Bodaboda Mwenye Mguu Mmoja -Video

 Kijana Frank Kutokea Jiji Arusha mwenye ulemavu wa mguu mmoja ameonyesha namna ambavyo anauwezo wa kutumia mguu wake mmoja...

READ MORE

Waliojishindia Mkwanjwa wa Chemshabongo ya Gazeti la Ijumaa Wakabidhiwa Zawadi Zao

Ikiwa ni wiki nyingine tena kwa wale wasomaji wetu wa Gazeti la Ijumaa kuendelea kujinyakulia zawadi zao kupitia chemshabongo ambapo...

READ MORE

Dodoma: Mkurugenzi, Mkewe Wafa Maji

KAIMU mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa mifugo kanda ya kati, Dk Harun Chawala na mkewe, Neema Mwasanganga  wamefariki  baada...

READ MORE

Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Alivyonaswa

  Jeshi la Polisi linamshikilia mkazi wa kwa Mustafa jijini Dar es Salaam, Lucas Joseph kwa tuhuma za kukutwa na...

READ MORE

Wawekezaji Wafurahia Soko la Bidhaa Tanzania

MKURUGENZI wa kampuni ya GF Vehicle Assemblers (GFA) Imran Kamali amefika kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na kufanya kikao na...

READ MORE

Mrembo Apewa Talaka, Kisa Kagoma Kupigiwa Tunguli

KISURA mmoja aliyeolewa miezi mitatu iliyopita katika boma moja eneo la Iriani, Tharaka nchini Kenya amejikuta matatani baada ya kupewa...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation yawazawadia washindi wa Kisarawe Ushoroba Marathon 2021

  Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Suleiman Jafo  (kushoto ),  Naibu waziri Habari,  Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Mhe. Abdallah Ulega (ambaye...

READ MORE

Adakwa Akiharibu Maiti Mochwari

MHUDUMU wa zamani wa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Iten, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, nchini Kenya, amekamatwa na maafisa wa...

READ MORE

Tofauti Za Kisiasa Hazitaikomboa Z’bar

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ,Othman Masoud Othman amesisitiza umoja na mshikamano kwamba ndio njia kuu ya kuisadia...

READ MORE

SBL yatoa ufadhili wa masomo ya kilimo kwa wanafunzi wengine 70

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imetangaza kutoa nafasi mpya 70 za ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wanaosomea kilimo...

READ MORE

Naibu Waziri Utalii Awataka Watafiti Kuibua Vivutio Vipya

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amewataka watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam(UDSM) kuhakikisha wanafanya utafiti na kugundua vivutio...

READ MORE

BREAKING: Bar La Chaaz & Night Club Inateketea Kwa Moto Muda Huu -Video

BAR  Maarufu ya La Chaaz & Night Club iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam inateketea moto muda huu leo Machi 5,...

READ MORE

Waziri Prof. Ndalichako Ashauri Wazazi Kushirikiana na Shule Kutatua Changamoto

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amewataka wazazi na walezi kushirikiana na shule wanazosoma watoto wao ili...

READ MORE

Ado Sahibu: Chimbuko la ACT Wazalendo ni Chadema – Video

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa chimbuko la chama hicho kwa asilimia kubwa limetokaana na Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

ACT Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Maalim Seif – Video

CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa vuguvugu la kumng’oa Maalim Seif kutoka Chama cha Wananchi CUF kuelekea ACT lilianza mara...

READ MORE

RC Kunenge Achukizwa na Viongozi Wanaochelewa Kwenye Vikao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka wajumbe wa Bodi ya Barabara kuhakikisha vipaombele vya Ujenzi...

READ MORE

Papa Kutembelea Iraq Licha ya Hofu ya Usalama

PAPA Francis atasafiri kwenda Iraq leo Ijumaa katika ziara ya kwanza rasmi nchini humo na safari yake ya kwanza ya...

READ MORE

Shigongo, Mollel Watua Hospitali ya Mwangika – Video

NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel na Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, wamewatembelea wagonjwa katika Kituo...

READ MORE

ACT Wazalendo Yaanika Ilivyotofautiana na Membe – Video

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kutokana na uzoefu waliokuwa nao kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, walikuwa hawaamini kama...

READ MORE